Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

Hivi kwa mfano tukipata hydro power ambayo economically iko very cheap wale symbions na umeme wao wa majenereta na gesi sijui watamuuzia nani.
Wajinga sisi tunakosa kuona nia njema kabisa kwa ajili ya ushabiki wa kisiasa.
Tangu lini mzungu anataka wewe upate uwezo wa kujitegemea, ni vile tu Stiggler Gorges strategically iko sehemu nzuri na ilishajengwa watu waache kupotosha kuwa inajengwa huu ni muendelezo tu wa mradi ambao ulififishwa ili kukufanya uendelee kuwa tegemezi.
Nani aliwapeleka wanyama na viumbe wengine Selous nani pia anaamini wanyama na viumbe wengine hawana akili, kama unadhani hiyo ni arguable nenda kachome moto selous uone kama hawo wanyama hawatajitafutia maeneo mengine kufit hiyo wanaita ikolojia.
Kama kweli kuna dhamira ya kusogea mbele hakuna sababu ya kusikiliza hawa wanaitwa UNESCO kwenye hili hatuna sheria popote inayompa haki mnyama dhidi ya binadamu..
 
Nimesoma kila sehemu,sijaona ni njia zipi za kufanya pale tutakapojenga mradi huo ktk kuzuia madhara hayo kuna njia ambazo zilitakiwa pia zisemwe hata kama zina gharama kubwa tujue,kila chenye madhara kina njia mbadara ya kutatua au kuondoa hayo madhara,umesema matatizo yatakayo jitokeza mradi utakapojengwa,watu wa NEMC na wale wa rufiji wanajua namna ya kujirinda na madhara hayo ndo maana wametoa baraka zote ktk ujenzi huo
 
Serikali imefanya utafiti wa kutosha kabisa ndo maana ikaamua kuweka huo mradi,tunaingia hasara kubwa na gharama kubwa sana juu ya umeme wa tanesco na hasa matumizi ya mafuta,kwani huo urithi wa dunia unao sema unatupatia nini hasa faida kwa wananchi kama sio jina tu la urithi wa dunia,na vihela vidogo vya watalii,sisi tunajenga halafu tunaweka njia mbadala za kufanya viumbe visihathirike ambavyo kwenye biblia na quoran mungu amesema tusiwe na huruma na viumbe kama wale,ndo maana tunachinja kuku na kula
 
Mwigulu na Nape wamejitakia..huwezi enda Mbuulu wale wazee wakakuvalisha Mgorori halafu ukabaki salama..Muulize Lyatonga
 
ukiwasikiliza sana wazungu hakika utachanganyikiwa na hutafanya cha maana.
Ghana walijenga bwawa la umeme wa mw 800.
lakini chaajabu 'mw600 wanatumia wazungu wenyewe kwenye miladi yao ya kuzalisha alluminium. mw 200tu ndio iliyoingia kwenye grid ya taifa na kuuza kwa nchi jirani.

Ethiopia wamejenga bwawa la umeme pia .kalibu umeme ote wamepeleka kweye viwanda vyao vya kutengenezea zana zao za kijeshi.

sasa leo tunajitutumua kutamani kupata umeme wa kutosha wao wanataka kuweka vikwazo.

sasa angalia.
nchi nzima tuna umeme hata mw 1600 haujafika utajengaje viwanda vikubwa .
wao wanatumia umeme wa ullenium wa sisi wametuwekea vikwazo tusiitumie malighafi hiyo.
y
Utatekelezaje sera ya viwanda bila ya kua umeme wa kutosha!
hoja zao hazina msingi.
ka
 
Back
Top Bottom