Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Ule mradi uliozinduliwa Na Waziri wa Ardhi Maarufu kama Mradi wa Lukuvi umekwama kutokana Na ukosefu wa fedha.Mradi huo umesimama Kwa takribani miezi 3 sasa mpaka ikatubidi sisi wananchi wa mtaa wa mavurunza ikatulazimu twende Ofisi za Serikali za Mitaa kupata ufafanuzi Na tuliambiwa mradi umesimama kutokana Na ukosefu wa Fedha hali iliyopelekea hata vibarua Na Watalaamu kutokulipwa Posho zao Tunamwomba Waziri Lukuvi aingilie kati kuukwamua mradi huu Kwa kuutafutia Fedha ili Urasimishaji wa Ardhi ukamilike.