Nilkuwa nautaman sana huo mradi niliomba nikakosa baadae nikasikia wameanza mambo ya ajabu ajabu mara uende had Jkt nk
Had ukimya ukachukua nafasi sasa sjuh bado upo au wahuni washajipigia pass ndefu urefu wa kamba ushachukua nafasi
" 1.2 bilions shillings zilienda kwenye 3.5 hectors Sasa Ile 15% Mheshimiwa rais tumeiweka kwa wakulima Hawa na imewaongezea gross production ya 20 tons kwa kila hekari 623..."