naomba kujuzwa kidogo hivi ikishakuwa digital inamaana atutatumia tena antena za kawaida watasaplay decoder au sijaelewa jamani
Ndugu yangu Jasusi, usihofu na hiyo 65%, its not of TBC, its of Star Media Corp. A total private entity. TBC is still 100% gvt of Tz. But that TBC has 35% stakes on a newly established subsidiary. The reason is simple Investment. Kama serikali imeshindwa kumalizia jengo la TBC for 10years now.!, itakuwa digital transmiters?.Lakini kulikuwa na ulazima gani wa kuwapa 65%? 45% zingewatosha.
. Its true hizo zingewatosha. Hata 10% only was enough. Are we capable of the remaining 90% investment?. Kwani ni nini kinatufanya tushindwe kuchimba madini yetu na kuretain 100%?. Its only capital. Kama tunawapa Barrick 99.07% na sisi kuretain 0.03% royatily, whats a big deal about 35% stakes?.Lakini kulikuwa na ulazima gani wa kuwapa 65%? 45% zingewatosha.
Ndugu yangu Jasusi, usihofu na hiyo 65%, its not of TBC, its of Star Media Corp. A total private entity. TBC is still 100% gvt of Tz. But that TBC has 35% stakes on a newly established subsidiary. The reason is simple Investment. Kama serikali imeshindwa kumalizia jengo la TBC for 10years now.!, itakuwa digital transmiters?.
Utaendelea kutumia antena kama zamani. Tofauti kwenye digital picha inaonekana vizuri zaidi na ukiweza kama mpunga unaruhusu unaongeza Digital box ambako makampuni mengi huweka bundles kama vile za channel za sport, adult films, na hub ya fast broadband internet. Vile vile unakuwa na chance ya ku-rewind programme unayoangalia au kurecord any two programmes kwenye channel tofauti at the same time. Au ukachagua programme tofauti tofauti kutokana na chaguo lako. Ukiweka Digital box huna haja ya Aerial.
Kwa UK mfano ukiwanayo unaweza kuona michezo mingi Live kwenye Skysport 1, 2, 3 and 4 pamoja na vikolombwezo kibao ambavyo kwa mwezi utalipa kama £60. Kwa Tanzania inategemea. Digital zilianza kuuzwa UK wakati wa karibu na fainali za World Cup kule Japan na Korea na wakati huo zilikuwa zinauzwa kama £1000.00 na ushee. Hivi sasa bei ni poa sana utapata digital kuanzia £150 inategemea na model.
Mkuu;
TBC Wameungana na Wachina kuunda kampuni ya
Star Media (Tanzania) Ltd.
Kampuni hii haihusiki na CONTENT kama TBC, bali inahusika na construction ya Digital Broadcasting Facilities.
Hata hivyo nimepata dondoo mahali kuwa hawa Wachina wataleta pia channels nyingine ambazo zitakuwa na content toka nje under Star Media na sito TBC.
nb. Analogue tv kwa uk zitaacha kufanya kazi sikumbuki ni lini lakini hilo linatokana na bbc kuacha kutangaza kwa kutumia analogue wakati ukifika. Nchi nyingine zitaamua kutokana na mifuko yao how long wataendelea kutumia analogue. Kama broadcaster ataendelea kutumia analogue utaendelea kupata mawasiliano sifahamu kama tanzania wameweka time table lakini usisahau bbc wanakua sponsored heavily na kodi wanayotoza kwa waangaliaji kila household wanalipa £136 kwa mwaka.
Watakapoacha huwezi kuwapata hasa kwenye nchi zetu ambako kila mtu anafikiria bbc ndio wenye ukweli wote. Khe khe khe.
Angalia hiyo rangi nyekundu, ukweli ni kwamba Antena za zamani (analog) haziwezi kushika digital broadcasting, hivyo basi punde watakapoanza kutangaza kwa digital signals itakulazimu kununua antenna nyingine. Hapa USA walioathirika zaidi ni wale wasio na cableTV. Cable campany zinaconvert digital kuwa analog then huhitaji antenna or converter box. Lakini kwa wale wasio na Cable iliwalazimu kununua antenna/converter zingine.
Ndugu yangu YEBO YEBO, hiyo kitu inayoitwa content isikie hivyo hivyo, Digita TV ni 24/7 for 365 days!. Hakuna hata TV station moja ya Tanzania inaweza kujaza muda huo, hivyo its fair Wachina wakijaza na mavitu yao. Mpaqka sasa Tanzania tuna TV Stations 10 tuu na hakuna hata moja yenye uwezo wa kujaza 50% ya content ndio maana matamthilia yote ni imported!. Sorry to day this, 'hatuna uwezo wa soap opera yoyote'. its a pitty but its a fact!. Sasa kama digital ni channel 100, tutaweza ili hali 10 tuu tunashindwa kujaza!.Mkuu
Unachokisema hapa wewe ni kuwa hao Wachina watakuwa wanamiliki 65% ya Digital TV Infrastructure ya Tanzania...na TBC wao watakuwa wanamiliki 35%.
Pia, kama nimekuelewa ni kuwa TBC wao watakuwa wanajihusisha na Contents. Wakati huo huo hawa Wachina kwa mujibu wa "dondoo" na pia wataruhusiwa kufanya biashara ya Contents wakishindana na TBC na other local companies.
Sasa mkuu hapo huoni kuwa tumeshafanya makosa...mimi naona Infrastructure ni muhimu zaidi...tungemiliki sisi hiyo 65% na Wachina 35%. Tutawezaje kuwa na sauti kwenye Contents wakati ambapo Infrastructure inamilikiwa na mtu mwingine.???
Ndugu yangu YEBO YEBO, hiyo kitu inayoitwa content isikie hivyo hivyo, Digita TV ni 24/7 for 365 days!. Hakuna hata TV station moja ya Tanzania inaweza kujaza muda huo, hivyo its fair Wachina wakijaza na mavitu yao. Mpaqka sasa Tanzania tuna TV Stations 10 tuu na hakuna hata moja yenye uwezo wa kujaza 50% ya content ndio maana matamthilia yote ni imported!. Sorry to day this, 'hatuna uwezo wa soap opera yoyote'. its a pitty but its a fact!. Sasa kama digital ni channel 100, tutaweza ili hali 10 tuu tunashindwa kujaza!.
Ndugu yangu YEBO YEBO, hiyo kitu inayoitwa content isikie hivyo hivyo, Digita TV ni 24/7 for 365 days!.
Hakuna hata TV station moja ya Tanzania inaweza kujaza muda huo, hivyo its fair Wachina wakijaza na mavitu yao. Mpaqka sasa Tanzania tuna TV Stations 10 tuu na hakuna hata moja yenye uwezo wa kujaza 50% ya content ndio maana matamthilia yote ni imported!. Sorry to day this, 'hatuna uwezo wa soap opera yoyote'. its a pitty but its a fact!. Sasa kama digital ni channel 100, tutaweza ili hali 10 tuu tunashindwa kujaza!.
Kunakuwa na mtu anayetoa infrastructure za kufanya transmission (Star Media, IPP na Star TV wameanzisha kampuni ambayo nayo imeomba/pewa leseni ya kufanya hii biashara). Sasa ukiwa na content unaweza kwenda Star Media, au IPP/StarTV au mtu yeyote atakaye kuwa na leseni na mitambo ya kutoa huduma hii.
Inategemewa content zitaongezeka kwa kuwa mtu mwenye idea ya TV show anaweza kuitengeneza bila kumtegemea Star TV au ITV au CTN kui-air.
[/COLOR][/FONT]
Sasa hapa umefafanua hivi...then
Ikiwa kama Taifa letu halina Infrastructure za kufanya transmission (kwa sababu Wachina waimiliki kwa 65%) kuna uhakika gani kuwa contents za TBC zitarushwa kwenye hiyo mitambo ya Wachina na sio Wachina waje na Contents zao? na pia Je itarushwa kwa gharama nafuu?
Watanzania wengine wenye kipaji na uwezo wa kutengeneza Contents kwa gharama nafuu, wataweza vipi kumudu vizingiti vya 1; gharama na 2; vigezo vingine vitakavyowekwa na hao wamiliki?
Hey, inaonekana unazungumza kinadharia zaidi kuliko hali halisi. Katika mazingira "perfect" hilo unalosema linawezekana, lakini tukiangalia mifano ya mikataba yetu na utekelezaji wake Tanzania....kuna dalili kuwa tumejifunza lolote?? Sidhani...
TBC ilitakiwa imili 100% au kama ingeshindwa kabisa basi wao Wamiliki 65% na Wachina 35%.
TV nyingi zinazotengenezwa sasa huhitaji kuweka chochote lakini kwa tv za zamani 3 to 5 yrs unahitaji king'amuzi cha kubadilisha digital signal to analogue mfano ni kama king'amuzi cha DSTVsamahani wadau hii digital switch by 2015 itabidi tubadilishe vitu gani kati ya receiver,dish na televion? naomba yeyote mwenye ufahamu anijulishe
naomba kujuzwa kidogo hivi ikishakuwa digital inamaana atutatumia tena antena za kawaida watasaplay decoder au sijaelewa jamani