Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,699
1. Una umri gani?Kiboko sio tija, ongea na mwanafunzi, mweleweshe kwa mifano hai hakika atakuelewa, mwanafunzi sio punda anayekwenda bila kiboko!!! Haki Elimu!!!!
1. Una umri gani?
2. Umesomea shule za kawaida au zile za ST....
pointer!hizo ni bakora au kuni?
Umri sio sababu grafani11 nimemaliza elimu ya msingi enzi za Mwalimu Nyerere 1988. Maisha ya miaka hiyo sio ya sasa hivi, thus why hata mashuleni kumewekwa sheria kumchapa mtoto mwisho fimbo 3, haya huo mzigo wa kuni anakwenda kuua nyoka darasani au!!!! Na mwanafunzi anafunzwa kwa adhabu za vitendo sio fimbo, maana ukimchapa kila siku anageuka sugu, je hapo unamjenga au unamharibu!!!! Haijalishi ni shule za ST au Kayumba school viboko havitakiwi tena, ilikuwa ni enzi za Mwalimu!!!!
Baba jitegemee hyoooo mhhh mambo ndo zipo hivo
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums