Bright Smart
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 642
- 312
Baada ya kupombeka ameamua kutembea kama miss huku akipigwa picha
Rasilimali kiuno anatangaza Biashara...si mnaona Madame B kaishanasa!!!
Baada ya kupombeka ameamua kutembea kama miss huku akipigwa picha
ila hot pot family suma g alikuwa anaonekana yeye tu,sijaona kazi za wengine,kwanza hot pot family ni watu wangapi?Hot pot family, ni kweli mkuu
Ni kweli mkuu Suma G ndie king'ara wao, kwa kweli hata mimi sifahamu idadi yao, mara nyingi nilipokuwa nasikiliza nyimbo za Suma G au tulipokuwa tunaonyeshwa kwenye TV Suma alikuwa lazima awakilishe kutaja "hot pot family" mwanzo wa nyimbo au mwisho wa nyimboila hot pot family suma g alikuwa anaonekana yeye tu,sijaona kazi za wengine,kwanza hot pot family ni watu wangapi?
natamani wangerudi pamoja na wale solid ground family
ameutunisha piaaisee huo mzigo hapo mbele
aisee huo mzigo hapo mbele
unaweza kuhisi ni goti
kweli hujaona vyote umeona hapo tu ??
kwa kweli nitakushinda
Jamani usiniacheeeeee