MR.Tanzania baada ya kulewa chakari

MR.Tanzania baada ya kulewa chakari

Wapoti

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
2,824
Reaction score
1,100
Baada ya kupombeka ameamua kutembea kama miss huku akipigwa picha
 

Attachments

  • 1409741766027.jpg
    1409741766027.jpg
    19.2 KB · Views: 1,045
Tatizo hapo linaonekana wazi, meza imejaa pombe chakula hakuna
 
Pombe ikikolea kwanza hafagiliwi mtu...
Hata ukiwa kama fidodido utajiona bonge la mtu...

Pombe pombe ikikolea inakua noma...
Pombe pombe ikikolea inakua sooo...
 
Madame B umestukajeee..! Upo lakini..? Nimekumisijeee mama lao..

Hahhaha......shemejiiiiiiiiiii......mekumiss sana wewe.
Nipo jimama lao, nimetulia tuli.
Ila huo mzigo hatareeeeeee, afu umekunjwa kuelekea chini
 
Last edited by a moderator:
Hahhaha......shemejiiiiiiiiiii......mekumiss sana wewe.
Nipo jimama lao, nimetulia tuli.
Ila huo mzigo hatareeeeeee, afu umekunjwa kuelekea chini

Ha ha ha Shemeeeji.. Hicho kitu lazima binti atoke mita na kuacha pichu ndani..
 
Pombe ikikolea kwanza hafagiliwi mtu...
Hata ukiwa kama fidodido utajiona bonge la mtu...

Pombe pombe ikikolea inakua noma...
Pombe pombe ikikolea inakua sooo...
hahaha Suma G alikuwa noma,tatizo vipaji vya bongo vinazimika mapema
 
Back
Top Bottom