MR Samwel Mbezi wa AIRTANZANIA afariki Dunia...

OkSIR

Senior Member
Jun 3, 2009
108
1
Familia ya Bwana SAMWEL MBEZI inasikitika kifo cha BABA yao mpendwa MR SAMWELI MBEZI kilichotokea usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake...KIPUNGUN ....maziko yanasubiri watoto wa marehemu walio marekani

AINEA S MBEZI
NA
PETER S MBEZI

marehemu alikuwa akifanya kazi kampuni ya ndege ya tanzania ATCL mpaka alipostaafu hivi karibuni...miezi michache iliopita.....kama
HR OFFICER.....

we shall be missing u ""KIDUME""

Mwenyezi MUNGU ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
 
R.I.P Mr. Samwel Mbezi. Mungu awape faraja wanafamilia na walio mbali wasafiri salama kuja kuzika.
 
RIP Samwel Lewis M'bezi
Ninatoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu na Mungu awape moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
Back
Top Bottom