mamso
Senior Member
- Feb 9, 2017
- 174
- 195
Hello
Mimi ni single mom
wa mtoto mmoja, nimeachana na mzazi mwenzangu na sijui hata yupo wapi kwa sasa. Natafuta mume miaka 35-50,
- awe tayari kumpenda mwanangu kama wake.
- Kupima afya
- Ajishughulishe na biashara au kazi
- Mkristo
-Mcha Mungu
- anipende nilivyo nami ntampenda alivyo. Naangalia upendo wa dhati.
Mimi na miaka 30,mjasiriamali, mnene,mweusi, Mkristo, naishi dar.
Mengine mengi tutaongea.
Walio serious tu, sipendi mtu aje hapa then aponde single mom, sio single mom wote wanaofurahia tunayopitia au tulipanga.
Siku njema.
Mimi ni single mom
wa mtoto mmoja, nimeachana na mzazi mwenzangu na sijui hata yupo wapi kwa sasa. Natafuta mume miaka 35-50,
- awe tayari kumpenda mwanangu kama wake.- Kupima afya
- Ajishughulishe na biashara au kazi
- Mkristo
-Mcha Mungu
- anipende nilivyo nami ntampenda alivyo. Naangalia upendo wa dhati.
Mimi na miaka 30,mjasiriamali, mnene,mweusi, Mkristo, naishi dar.Mengine mengi tutaongea.
Walio serious tu, sipendi mtu aje hapa then aponde single mom, sio single mom wote wanaofurahia tunayopitia au tulipanga. Siku njema.