Mr president, train your people and use your people

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,535
Fundisha wataalamu wa ndani kwa kiasi cha juu kabisa, alafu watumie wataalamu hao kuleta maendeleo.

Fundisha mainjinia, fundisha wataalamu wa tekohama, fundisha madaktari, fundisha wachumi toka ndani alafu watumie kuleta maendeleo.

Kama wapo tayari walioshafundishwa watumie hao kuleta maendeleo, kabla ya kuazima toka kwa jirani.

Train your own people and use them.
 
Tunajua tatizo hapa ni moja, kumsifia Kagame imewauma sana, hili tu. Mbona kila siku hatuongei hivi wakija watu kutoka ulaya ama weupe? Kwa Rwanda inaonekana ndo kana kwamba makondoo yalilala sasa yameshtuka, ushauri wenu ni wa kichuki zaidi ya kuwa wa kizalendo.
 
Unapotumia wataalamu wa nchi nyingine unaipa nguvu nchi hiyo, lazima watu wako uwafundishe kuimarisha uchumi wako
 
Fundisha wataalamu wa ndani kwa kiasi cha juu kabisa,alafu watumie wataalamu hao kuleta maendeleo.
Fundisha mainjinia,fundisha wataalamu wa tekohama,fundisha madaktari,fundisha wachumi toka ndani alafu watumie kuleta maendeleo.
Kama wapo tayari walioshafundishwa watumie hao kuleta maendeleo,kabla ya kuazima toka kwa jirani.
Train your own people and use them.
Nyerere aliwafundisha kwa hali ya juu sana na bado wakalamba viwanda vyooote. Namsupport Magufuli maana wabongo siku hizi ni hatari kusema ukweli. Hamuaminiki. Mdevelop system ya serikali ya kukusanya mapato na kwa maana hiyo credentials mtakuwa nazo nyie mnadhani mtatubakiza? Hapanaaaaaaa. Mheshimiwa Rais endelwa na mpango wako Baba.
 
TATIZO SIO UTAALAM , WALA SIO ELIMU, Tatizo kubwa kwa waTZ ni ATTITUDE , CULTURE, BEHAVIOR,

Kila mtu anawaza kuiba tu, eti mbuzi hula kwa urefu wa kamba......., Kagame anazo sifa na haki ya kutufundisha sbb ya kwanza yeye amefanya na ameweza kwa mazingira sawiya , wizi, udokozi , ulaghai, ukora , ndio utamaduni wetu hasa maeneo ya pwani,
 
tuwasomeshe vijana haraf badala ya kusaidia taifa waje wafanye uhuni wa kudukua matokeo ya uchaguzi ya NEC?
 
TATIZO SIO UTAALAM , WALA SIO ELIMU, Tatizo kubwa kwa waTZ ni ALTITUDE , CULTURE, BEHAVIOR,
Kila mtu anawaza kuiba tu, eti mbuzi hula kwa urefu wa kamba......., Kagame anazo sifa na haki ya kutufundisha sbb ya kwanza yeye amefanya na ameweza kwa mazingira sawiya , wizi, udokozi , ulaghai, ukora , ndio utamaduni wetu hasa maeneo ya pwani,
Nadhani ulimaajisha ATTITUDE
 
kwa Yale maeneo ambayo hatuna wataalamu sio mbaya kuchukua toka nje.
Brain drain inaruhusuwa kijihimalisha kwa zile taasisi zenye upungufu mkubwa wa wataalamu wa sekta husika.
 
Hivi udsm vitakosa vichwa vya IT? hao wapo ila ni vilaza?sio rahisi udsm ni moja ya vyuo bora APA. Afrika.
 
Mfano mmojawapo Tanzania ilifundisha madaktari nje ya nchi kuhusu upasuaji wa moyo,,sasa ivi hao madaktari wanafanya upasuaji mkubwa wa moyo muhimbili ( walifundishwa na sasa wanatumiwa)
 
Unapotumia wataalamu wa nchi nyingine unaipa nguvu nchi hiyo, lazima watu wako uwafundishe kuimarisha uchumi wako
Mbona huwa tunawatumia wamarekani na waingereza na mataifa mengine kila siku?
 
Nyerere aliwafundisha kwa hali ya juu sana na bado wakalamba viwanda vyooote. Namsupport Magufuli maana wabongo siku hizi ni hatari kusema ukweli. Hamuaminiki. Mdevelop system ya serikali ya kukusanya mapato na kwa maana hiyo credentials mtakuwa nazo nyie mnadhani mtatubakiza? Hapanaaaaaaa. Mheshimiwa Rais endelwa na mpango wako Baba.
Wengi ni wezi sana...ndio maana wana lia lia..
 
Wengi ni wezi sana...ndio maana wana lia lia..
Hivi mnapewaga hizo 2000 kwa ajili ya kazi gani? Iweje mtu kama wewe ushindwe kufikiri sawasawa wakati jioni utapewa ujira wako? Mbona wako kwenye sehemu muhimu fukuzeni wote muajiri wanyarandwa. Acha kujirazau kwa kutumikia 2000
 
Back
Top Bottom