Katika ziara mkoani Kilimanjaro rais alihaidi Computers kwa kila shule ...Kama picha inavyoeleza wadogo zetu WAMEKAA wana subiri.
Shule jijini Dar es Salaam

...Mkuu si suala la kitu gani ni rahisi au kipi ni aghali..Tatizo la ****** haelewi hata vipaumbele vya watu wake. Haingii akilini raisi wa nchi unajuwa wazi wanafunzi wako bado wanakaa sakafuni hakuna madawati unawapa ahadi ya kuwapatia computer si bure kuna tatizo mahali mtu mzima kuwa hivyo...πound:πound:πound:What is more expensive? Dawati or Computer? Kama jibu unalo awape kwanza kilicho cheap.
Kwani hizo kompyuta alizoahidi kununua wazazi hawawezi kuwanunulia watoto wao???Wazazi nao si wajitoe kuchangia madawati wanashindwa nini? Kukizingatia wengi wao kama siyo waajiriwa hata mapato yao ya dei waka hawalipiii kodi yoyote