Mr Nyalandu is Back kwa style nyingine

Mr Nyalandu is Back kwa style nyingine

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,686
Huyu ndio next prezdaa mutu ya watu.
Cheers!!
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    36.2 KB · Views: 903
Huyu ndio next prezdaa mutu ya watu.
Cheers!!
hii ni photoshop, hii sheria mpya inaweza kukunasa. anza maandalizi ya jela mapema mzee. na kina max wameshabanwa mikono wakiambiwa watoe detail zako na wasaidie kukukamata hawana jinsi ila kutii sheria. subiri kichapo.
 
Unaijua photo shop wewe viZuri?
 
hii ni photoshop, hii sheria mpya inaweza kukunasa. anza maandalizi ya jela mapema mzee. na kina max wameshabanwa mikono wakiambiwa watoe detail zako na wasaidie kukukamata hawana jinsi ila kutii sheria. subiri kichapo.

Kuna mitazamo miwili hapo wewe unaona kosa mimi naona jamaa katoa tahadhari kwa kitu alichoomba mtuhumiwa ridhaa yetu ya yeye kuwa na nia ya urais.
Tatizo mpaka liwe tatizo linategemea mtazamo wako
 
yaani tumeshamsahau hyu jama? anaonekana ana pepo
 
Jamaa o level kasoma kibaha (boys) a level ilboru (boys) so mwache amalize hasira!!!!
 
Back
Top Bottom