Msanii wa kizazi kipya Mr.Nice amelazwa ktk dispensary ya Frorida mjini kahama...Ndugu jamaa na marafiki tunaomba msaada wenu kwani hata kula anakula kwa mpira na choo pia anatumia mpira..fika dispensary ya Frorida mtamkuta...

Nimepost Leo Watanzania hasa wasanii na vyombo vya habari waoneshe mchango wao angalau kidogo la sivyo yakitokea ya kutokea wasiandike chochote wakae kimnyaaa maana habari hii itauza na watapata faida
tusiangalie alitumia na nani ila tuangalie alituburudisha vipi. hadi watoto waliimba kuku kapanda baiskeli na bata kavaa raizoni. leo yeye kesho sisi. mtoa mada atoe namba ya sm ya mr. nice watu watoe misaada. mr. gadner abash simamia game homeboy wetu arudi kwenye game.