Mr Nice guys are not husband material

Status
Not open for further replies.
Tuma mmoja tumlogee na dawa utaqeza olewa
 
Sawa, ngoja niangalie kwanza game ya Ahly maamelodi.
 
Mahitaji huwa yanabadilika kutokana na mtu mwenyewe.
 
Target number 1 ya single mums ni nice guys, wanajua watapokewa kwa upendo na matunzo
Baada ya kujipata, hurudi au hutafuta another badboy
Women are attracted to chaos, mwishowe they end up in the ditch na kutupa lawama
Sure mzee.. katika mahusiano nice guys ni victims wa wema na uaminifu wao, lakini mtoa mada kaleta post kama vile nice guys ndio villains.

Kinachochekesha ukimwambia akutajie sifa za mume anaemtaka usishangae akakwambia anataka mume mpole, mwaminifu, anaemjali na mchamungu.

Hawajui wanataka nini.
 
Inawezekana you met a guy "nice guy". Who you wanted to get alot from in terms of attention and the like, a sacrifice kwaajili yako including financially ila akawa na priorities zilizokufanya uone anakua influenced na wazazi wake. Maybe you thought sex would do the trick akusikilize ila mwisho wa siku it didn't work out mwishoni ukamuona kama goi goi flani ivi sababu you never saw yourself in a position ya kueleweka kwake. Ila ni maoni yangu tu
 
There is a possibility that you hit the point. She entered into relationship with parasitic expectations, but the guy didn't see if she is worth the sacrifices and efforts. As usually women can't accept rejection in a good way, insteady of accepting the fact that she is not needed, she came up with stupid excuses and dis
 
Hakuna watu ambao wako influenced na wazazi wao?

Hakuna wanaume wasiojua kusex????

Umeshindwa kujibu topic as a whole nini mtazamo wako bila kumweka kati mtoa mada?! Au huwezi kujibu objectively?
 
Vijrmbe vyako haviniingii MPUMBAVU WEWE...TRY HARDER kenge we!
 
Kunywa pepsi moja kwa gharama zako. Umeandika madini tupu
 
Nilichoelewa ni kwamba wanawake (wamama)uharibu na wanawake (wake) ulalamika...

Nice guys huamini wake zao uhitaji kilichobora katika maisha yao. Kumbe kimsingi sivyo. Na tafiti zinaonyesha wapo 95%. Damn...

"Every man is nice to a woman he likes and rude to the one he dislikes"...
 

Kitu ambacho hawajui, Those Hoes They Don't deserve Nice Guys.
 
Nice Guys tutaoa Nice ladies, Nyie Makulakutaabu mtaolewa na Bad boys
Aliyekwambia nani huoni wanaume wenzako wanalalamika nice guys wanaishia na Masingo mazas na damaged women, au hii ndio definition yako ya nice ladies?!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…