Mr Nice guys are not husband material

Status
Not open for further replies.
Wanawake hamjui mnataka nini izo zingine ni blah blah. Kama hauwezani na nice guys mbona simple kabisa. Wewe jiweke kwa bad boys then waache nice guys na maisha yao, sio kumtaka nice guy aende sambasamba na delusions zako za kishetani.

Kwamba nice guy alieamua kuheshimu mwili wake na heshima yake unataka awe mtombaji holela ili tu apate validation yako. Kwamba nice guy anaeamini katika diplomasia unataka awe dikteta. Wema ndio character yake ndivyo alivyo kama hauwezi nenda kwa badboys
 
Nipo sahihi or not siko hapa kupata validation yako...you can keep your nonsense to your bloody self....nimemention mr nice guys walivyo, kwa percepgtion yangu...kama una agree sawa kama huagree pia sawa...Mr nice guy hajui kuto**mba hutaki hupendi au??? sex inakuja na experience hutaki hupendi au?

Ukiamua kuheshimu mwili wako....do it for yourself, ila ukija kuoa na mkeo aka cheat you have yourself to blame!...iko hivyo
 
Nice guy sio huyo unaye mzungumzia ww. Nice wanajali kupitiliza,sio malaya,waaminifu na watu wakumjua Mungu sana,hawanaga makashi kashi. Nice guy kinacho wafanya wanawake wawaone hawafai kitandani.Mfano mchezaji wa Kibrazil Ricardo Kaka ,mke wake alimwacha sababu anadai Ricard ni too nice yy amezoea makashikashi.

Nakuambia mtafute mtu yoyote mwenye dada yake au hata dingi mwenye binti yako anaprefer binti yake awe na nice guy, kwani probability ya kumposa binti ni kubwa kuliko hao wahuni,ambao wengi wao ni mitambo ya kutengeneza single mother.
 
unaoa ili iweje kama sio sex?????
Kila mtu ana sababu zake za kuoa au kuolewa. Zinaweza kutofautiana kwa mtu mmoja na mwingine.

Sababu ya good sex haiwezi kuvunja ndoa, wanawake wanauwezo wa kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila shida yeyote, achilia mbali kupata good sex.

Wanawake wengi wamezeekea kwny ndoa zao bila kufikishwa kileleni na waume zao, wanawake wanaofikishwa kileleni ni wachache mno, wengi wanafanya mapenzi kuwaridhisha waume zao tu, na ndoa zao hazivunjiki.
 
Hauna akili
 
good sex haiwezi kuvunja ndoa....seriously???...wanaoenda kwa michepuko huwa wanafata nini??..................Je katika reasons za ndoa kuvunjika ipi inakuwa cited as most reason ndoa kuvunjika??? wewe utaoa bila kupata good sex???....niambie mtazamo wako
 
Hawa wanapenda mwae awapige matukio, mwanaume heka heka. Halaf wakisha choka, wanakuja kuita wanaume umbwa, na kulaani

Hawajui wanataka nn
 
Mnaolewa na mr.nice guy baada ya players (guys mna wa desire) kuwachezea na kuwatema. Nice guys huwa wanakuwa last resort yenu sababu hawana restriction nyingi kama other guys
Mwanamke anamtaka mwanaume mualibifu(badboy), ili ajipe kazi ya kumfanya awe mwanaume mwema(nice guy). Unabaki kushangaa kwanini asingeenda kwa mwanaume mwema kuanzia mwanzo ili kuepuka iyo risk ya kuwa potential victim wa mwanaume muaribifu? Mwishoe unakuja kupata jibu kwamba, sababu ni mwanamke hajui anataka nini.
 
Target number 1 ya single mums ni nice guys, wanajua watapokewa kwa upendo na matunzo
Baada ya kujipata, hurudi au hutafuta another badboy
Women are attracted to chaos, mwishowe they end up in the ditch na kutupa lawama
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…