Mr Nice guys are not husband material

Status
Not open for further replies.
Mr. Nice kafulia hana kitu km mm ww w nini?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mnaolewa na mr.nice guy baada ya players (guys mna wa desire) kuwachezea na kuwatema. Nice guys huwa wanakuwa last resort yenu sababu hawana restriction nyingi kama other guys
 
hahahahah wewe ndio uko delusional kweli, sikushangai uko kimachale sana kwenye ndoa yako, ni mmojawapo wanaoamini mwanamke yupo to take only, wala huamini mwanamke anaweza kuwa committed na relationship bila kutaka chochote....in that case we wont agree on anything!....Kwa hio unaamini wanaoolewa leo wote wanataka mgao kwenye ndoa zao...ni sawa na kusema kila mwanamke (80%as you put it ) ya wanaoolewa leo wana ulterior motive ya kupata mgao.....very delusional......

Hamna ubaya wowote wa mama kuwa karibu na kijana wake....well, it takes two to raise a kid...jaribu kuwa absent kwenye maisha ya kijana wako...uone atakavyo turn out....do this as experiment,majibu baki nayo....

Performance mbovu kitandani ni lazima kuwa na comparison???? wewe ukiscore Maths below 30 utajiona mshindi hata kama ni wa kwanza darasani???? well kama hujui kumkuna mkeo ni hujui tu sio lazima awe na comparison, wewe ndio unadanganya watu waoe bikira sababu hamna comparison...unachoshindwa kuelewa hayo mambo hayahitaji comparison; unajua unajua hujui hujui....worse kama humkuni atanuna, atakuwa mgomvi na kuna chances atacheat...kwa nini tuandikie mate, jaribu kwa huyo bikira wako ulete majibu...

udhaifu mkubwa wa mr nice guys ni kushindwa kutwist emotions za wanawake..i agree...sababu hawako EXPERIENCED, THEY ARE NOT WORTH ANYTHING...
 
Mnaolewa na mr.nice guy baada ya players (guys mna wa desire) kuwachezea na kuwatema. Nice guys huwa wanakuwa last resort yenu sababu hawana restriction nyingi kama other guys
Hatuolewi na mr nice guys, otherwise ndoa zisingevunjika...ni makurumbembe tunaolewa nayo.,
 
Anita Makirita, ulipotelea wapi mkuu?

Sisi wanaume mabikra tumekukosea nini?

1. Hatutaki "kuharibu" mabinti za watu.
2. Hatutaki magonjwa ya zinaa.
3. Hatutaki mimba zisizotarajika.
Keep on being mr Nice mwaya, nimejiskia kufanya fujo tu leo...nipo nimekua msomaji zaidi lol
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…