TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,542 Jul 25, 2010 #1 Wakuu nimeona picha kwenye Mtandao wa Shigongo kuwa Selebu wetu Mr. Nice amepigwa vibaya sana kiasi cha kuvuja damu usoni. View attachment 11942View attachment 11941 This is too sad..
Wakuu nimeona picha kwenye Mtandao wa Shigongo kuwa Selebu wetu Mr. Nice amepigwa vibaya sana kiasi cha kuvuja damu usoni. View attachment 11942View attachment 11941 This is too sad..
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,151 Reaction score 137,140 Jul 25, 2010 #2 Hmmm.....natumaini si kweli
Pengo JF-Expert Member Joined Oct 15, 2009 Posts 579 Reaction score 10 Jul 25, 2010 #3 Amejichora tuu
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,368 Jul 25, 2010 #4 labda alikuwa "location" akitengeneza movie
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,187 Jul 25, 2010 #5 Ukiitazama kwa makini hiyo picha, hainyonyeshi kama kweli kapigwa... hii inaweza kuwa fix ya kurejesha umaarufu
Ukiitazama kwa makini hiyo picha, hainyonyeshi kama kweli kapigwa... hii inaweza kuwa fix ya kurejesha umaarufu
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,187 Jul 25, 2010 #6 Kituko said: labda alikuwa "location" akitengeneza movie Click to expand... Hili nalo neno... inawezekana kabisa
Kituko said: labda alikuwa "location" akitengeneza movie Click to expand... Hili nalo neno... inawezekana kabisa
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Jul 25, 2010 #7 midamu yote hiyo eti kapigwa aitoke vitunguu/asivimbe?sijaelewa
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jul 25, 2010 #8 asipigwe kwani yeye nani? kama kachokoza watoto wa mbwa matokeo yake ni nini?
Kwetunikwetu JF-Expert Member Joined Dec 23, 2007 Posts 1,535 Reaction score 416 Jul 25, 2010 #9 Mbona fulana haina damu? Ina maana damu yote iliganda kabla ya kutiririka kwenye fulana? Huyo kachorwa...!
Mbona fulana haina damu? Ina maana damu yote iliganda kabla ya kutiririka kwenye fulana? Huyo kachorwa...!
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,377 Jul 25, 2010 #10 Halafu uniiangalia sana hiyo picha inaonekana huyo mtu ana fanana na Mr Nice na si yeye kabisaaaaaaaaaaa
Halafu uniiangalia sana hiyo picha inaonekana huyo mtu ana fanana na Mr Nice na si yeye kabisaaaaaaaaaaa
kinya JF-Expert Member Joined Feb 20, 2009 Posts 495 Reaction score 71 Jul 25, 2010 #11 mmmh inawezekana lakini hebu anajua ful mkanda atupe si mnajua kuwa huyu alkuwa supa* tupeni wenye undani zaidi tafadhali
mmmh inawezekana lakini hebu anajua ful mkanda atupe si mnajua kuwa huyu alkuwa supa* tupeni wenye undani zaidi tafadhali
B Bawa mwamba JF-Expert Member Joined Mar 19, 2010 Posts 350 Reaction score 32 Jul 25, 2010 #12 Kwetunikwetu said: Mbona fulana haina damu? Ina maana damu yote iliganda kabla ya kutiririka kwenye fulana? Huyo kachorwa...! Click to expand... Hao ndio Madirecta wa bongo halafu anatabasamu..,Pu,Mbavu kabisa
Kwetunikwetu said: Mbona fulana haina damu? Ina maana damu yote iliganda kabla ya kutiririka kwenye fulana? Huyo kachorwa...! Click to expand... Hao ndio Madirecta wa bongo halafu anatabasamu..,Pu,Mbavu kabisa
D Diana-DaboDiff JF-Expert Member Joined Jul 13, 2009 Posts 376 Reaction score 19 Jul 25, 2010 #13 Kwetunikwetu said: Mbona fulana haina damu? Ina maana damu yote iliganda kabla ya kutiririka kwenye fulana? Huyo kachorwa...! Click to expand... Hata mimi niliwaza hivyo,damu itapakae uso mzima hata tone lisionekane kwenye flana? na hata kama kabadilisha flana alishindwa kuosha uso?
Kwetunikwetu said: Mbona fulana haina damu? Ina maana damu yote iliganda kabla ya kutiririka kwenye fulana? Huyo kachorwa...! Click to expand... Hata mimi niliwaza hivyo,damu itapakae uso mzima hata tone lisionekane kwenye flana? na hata kama kabadilisha flana alishindwa kuosha uso?
K kichenchele JF-Expert Member Joined Jun 28, 2010 Posts 539 Reaction score 177 Jul 26, 2010 #14 na wewe mtoa mada kuwa makini unapokuwa unasoma jaribu ku-concentrate, huwezi kutofautisha Damu na tomato souce? mambo ya acting hayo wewee
na wewe mtoa mada kuwa makini unapokuwa unasoma jaribu ku-concentrate, huwezi kutofautisha Damu na tomato souce? mambo ya acting hayo wewee
chloe.obrain JF-Expert Member Joined Feb 25, 2010 Posts 391 Reaction score 21 Jul 26, 2010 #15 mh!!!:nono:
T Tiger JF-Expert Member Joined Nov 30, 2007 Posts 1,747 Reaction score 387 Jul 27, 2010 #16 Ukiangalia vizuri utagundua, wakati wa kumpaka hiyo tomato..... walikuwa makini isimuingie machoni. Angalia tena.
Ukiangalia vizuri utagundua, wakati wa kumpaka hiyo tomato..... walikuwa makini isimuingie machoni. Angalia tena.
H Hofstede JF-Expert Member Joined Jul 15, 2007 Posts 3,577 Reaction score 1,117 Jul 27, 2010 #17 Chimunguru said: Halafu uniiangalia sana hiyo picha inaonekana huyo mtu ana fanana na Mr Nice na si yeye kabisaaaaaaaaaaa Click to expand... Yeye ana upele usoni. Halafu huyu jamaa si ndiyo mzazi mwenzie na marehemu Diana Astonivilla aliyekuwa mnenguaji wa ASET?
Chimunguru said: Halafu uniiangalia sana hiyo picha inaonekana huyo mtu ana fanana na Mr Nice na si yeye kabisaaaaaaaaaaa Click to expand... Yeye ana upele usoni. Halafu huyu jamaa si ndiyo mzazi mwenzie na marehemu Diana Astonivilla aliyekuwa mnenguaji wa ASET?
schulstrasse Senior Member Joined May 31, 2010 Posts 108 Reaction score 0 Jul 30, 2010 #18 Kapigwa kweli coz alichokoza mtu kwa kumwambia kamtapeli pesa walipokuwa club...matokeo yake jamaa akamtwangwa chupa ya uso na Mr Takeu kuzirai nusu saa!source Shigongo.:biggrin:
Kapigwa kweli coz alichokoza mtu kwa kumwambia kamtapeli pesa walipokuwa club...matokeo yake jamaa akamtwangwa chupa ya uso na Mr Takeu kuzirai nusu saa!source Shigongo.:biggrin:
Kariakoo Member Joined Nov 1, 2009 Posts 32 Reaction score 2 Jul 30, 2010 #20 Pesa zote anazopata hawezi kuwa na Body Guard?