Akionekana mwenye afya njema, Mr Nice aibukia jijini Nairobi, Kenya....mkali wa wimbo wa "kikulacho ki nguoni mwako" yuko mbioni kutuonesha vile vitu tumevikosa kutoka kwake...#TAKEUstyle
Pichani akiwa na msanii jaguar wa Kenya!
View attachment 384142