Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 416 Jul 15, 2010 #21 FirstLady1 said: Wife mrembo ila wewe Nguli honeymoon unavaa kofia la ajabu ajabu namna hiyo Hongera sana good choice . Click to expand... ..Hilo kofia inanikumbusha maeneo ya njombe na makambako na hasa wakati kama huu wa baridi huenda Nguli aliwahi kupitia huko kipindi kama hiki cha July then akaamua kubaki na kumbukumbu!!!
FirstLady1 said: Wife mrembo ila wewe Nguli honeymoon unavaa kofia la ajabu ajabu namna hiyo Hongera sana good choice . Click to expand... ..Hilo kofia inanikumbusha maeneo ya njombe na makambako na hasa wakati kama huu wa baridi huenda Nguli aliwahi kupitia huko kipindi kama hiki cha July then akaamua kubaki na kumbukumbu!!!
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,473 Reaction score 757 Jul 16, 2010 #22 nICE PICS but they are Wanyarwanda
NGULI JF-Expert Member Joined Mar 31, 2008 Posts 4,801 Reaction score 652 Jul 16, 2010 Thread starter #23 Mfunyukuzi said: nICE PICS but they are Wanyarwanda Click to expand... Kwanini mnatuita wanyarwanda? kwa vile ya shingo zetu?
Mfunyukuzi said: nICE PICS but they are Wanyarwanda Click to expand... Kwanini mnatuita wanyarwanda? kwa vile ya shingo zetu?
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,465 Jul 16, 2010 #24 Enzi hizo bwana! Kumbe Nguli ni wewe uliyenichukulia "Mpenzi" wangu? Hapo ni Karibu na lile Kanisa la Mt nani vile?
Enzi hizo bwana! Kumbe Nguli ni wewe uliyenichukulia "Mpenzi" wangu? Hapo ni Karibu na lile Kanisa la Mt nani vile?
NGULI JF-Expert Member Joined Mar 31, 2008 Posts 4,801 Reaction score 652 Jul 16, 2010 Thread starter #25 Baba_Enock said: Enzi hizo bwana! Kumbe Nguli ni wewe uliyenichukulia "Mpenzi" wangu? Hapo ni Karibu na lile Kanisa la Mt nani vile? Click to expand... Ha ha ha samahani sikujua labda yeye hakunieka wazi la muhimu ni kwamba tayari una mtu mwingine - JS
Baba_Enock said: Enzi hizo bwana! Kumbe Nguli ni wewe uliyenichukulia "Mpenzi" wangu? Hapo ni Karibu na lile Kanisa la Mt nani vile? Click to expand... Ha ha ha samahani sikujua labda yeye hakunieka wazi la muhimu ni kwamba tayari una mtu mwingine - JS
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 236 Jul 19, 2010 #26 heeeeee si mchezo