mr madharau amerejea!!!!!!

mr madharau amerejea!!!!!!

Beso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
216
Reaction score
59
936895_538469422885162_1554308695_n.jpg
kaeni mkao wa vibweka.
 
Hunifikii mimi yaani si mpendi, nilifurahi sana alipoondoka Spain kwa aibu ukilinganisha na mbwembwe alizokuja nazo. Barca wamemfanya kazi.
 
Naipenda sana barca yangu kwa kumfanya kitu mbaya huyu mropokaji maana angechukua kombe lolote pale tusingekunywa maji.....
 
Mmesahau jinsi alivyoifanya Barca,sasa Barca itatamba tena sababu kaondoka.
 
Kijome kwani Mourinho hajachukua kombe lolote alipokuwa Spain?

Hakuna kocha yeyote ambaye amewahi kuchukua Ubingwa wa Ligi katika nchi 4, tofauti barani Ulaya.

Jose Mourinho ni balaa:
-Ureno[akiwa Porto]
-Uingereza[akiwa Chelsea]
-Italia[akiwa Inter]
-Spain[akiwa Real Madrid]
Pia kachukua ubingwa wa UCL, mara 2..lazima umchukie kwa sababu jamaa ni kiboko yako!
:nod:
 
Barca hawajamfanya kazi yoyote acha kupotosha watu mkuu "Barca", Unakumbuka Alivyoinyanyasa Barca akiwa Chelsea na Inter? Hata akiwa Madrid kwani mwaka jana alipochukua ubingwa wa ligi kwa pointi 100, si aliwafunga Barca pia au umesahau?

Unakumbuka nusu-fainali ya mwaka 2010, ..INTER 3, BARCA 1.?

Usiwe mwepesi wa kusahau mkuu,,:heh:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom