Mr II- SUGU aanzisha Blog

Lusajo

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
456
Reaction score
30
Katika pitapita yangu mtandaoni nimekutana na Blog ya Mr II sugu ambayo ni suguformbeya.blogspot.com
 
Hata mimi nimeipiti,
kilichonivutia ni maneno yake haya hapa,
"Naomba nieleweke kuwa mimi si mwanasiasa, bali ukweli mimi ni mwanaharakati wa masuala ya maendeleo ya jamii na ninachokifanya sasa, ni kubadilisha jukwaa kutoka jukwaa la sanaa ya muziki na kutua katika jukwaa la siasa,''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…