Mr. II alilipua Jeshi la Polisi Bungeni

Askari polisi 2 kuwekwa mahabusu moja na watuhumiwa wengine jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao
Wanafunzi wa chini ya umri wa miaka 18, wakiwa na sare zao za shule kuwekwa mahabusu na watu wazima
Wagonjwa 2 wa akili kuwekwa mahabusu moja na watuhumiwa wanganui na
Mwisho kubwa kuliko, mtuhumiwa wa kizungu kutokuwekwa mahabusu kama wengine, badala yake kutengewa ofisi na kufanywa ndiyo mahabusu yake, na zaidi ya hilo kupewa na 'house girl' wa kumuhudumia ambaye ni askari wa kike wa jeshilo. Kosa lake ni kukutwa na shehena kubwa ya pembe za ndovu!!

Hapo kwenye Red labda hakujua,
angetoa hilo nenoa akaweka neno mwekezaji

ukuvi ni kinyesi. Anasema adui yake mkubwa ni Mh. Mch. Peter Msigwa, kisa demu wao Mbega amekosa ulaji. Hovyo kabisa, sijui anaeimu gani? Tatizo kateuliwa kuwa waziri, hoja zake mavi kabisa. Afghanistan angepigwa risasi!!

...... hali ya nchi ni mbaya sana haivumiliki...inabidi wananchi tujipange tutangaze hali ya hatari wenyewe,tujigeuze Daudi tumwangushe Goriati...

SOURCE: Global Publishers's News!
Vipi hakuna udaku mwingine ubandike?

Lakini lazima tufahamu kuwa protocal ipo na inazingatiwa hata kwa watuhumiwa, kwani mtuhumiwa si mfungwa mwenye cheo cha kanali atafungwa pingu pamoja na ofisa wa juu na wala si coplo? lakini hebu sugu atupe zaidi ya kilichojili usiku hakutembelewa na popo bawa?

aisee kama ulibahatika kwenda shule basi kachome vyeti vyako vyote uanze upya,unaaibisha adi wazazi waliokuzaa...

Big up sugu ila kwa vile na ye ni mbunge angemuomba mkuu wa kituo ampatie ka housegirl au ingeshindikana ata secretary sio mbaya au vp?

Pamoja sana Sugu hadi kieleweke unaiwakilisha Mbeya vilivyo speech nzuri yenye mifano live yanayofanywa na Jeshi la polisi na Idara nyingine chini ya hii Wizara ya mambo ya ndani ni unyanyasaji,uonevu wa khali ya juu,ukandamizaji yaani kila uovu humu ndo mahala pake afu tunaambiwa tunalindwa nakutendewa haki!!

...... hali ya nchi ni mbaya sana haivumiliki...inabidi wananchi tujipange tutangaze hali ya hatari wenyewe,tujigeuze Daudi tumwangushe Goriati...

<br /ebwana unenena jambo la msingi sana naunga mkono hoja

ukuvi ni kinyesi. Anasema adui yake mkubwa ni Mh. Mch. Peter Msigwa, kisa demu wao Mbega amekosa ulaji. Hovyo kabisa, sijui anaeimu gani? Tatizo kateuliwa kuwa waziri, hoja zake mavi kabisa. Afghanistan angepigwa risasi!!

-ukuvi yuko kwenye ile list ya mafisadi wa elimu: inabidi achunguzwe.

Back
Top Bottom