sina imani nawe, unahitaji ubatizo wa moto na kiapo ndipo nikuaminiHii CCM ya mafisadi wauaji,....bashe mwenyewe alibanwa korodani na mlango kwa sababu ya kuongea his mind,mimi baada ya NAPE ni BASHE kuna mapungufu kila mtu anayo ila Bashe asiposoma alama za nyakati atauwawa kisiasa na huenda akatengenezewa kifo BASHE HUSEIN hama chama cha mapinduzi,njoo huku tupambane na Lissu atakuwa ametia nanga mbona utanikumbuka.
Nakukumbusha alivyopambana kagame asipelekewe standard gauge .mwafrika mkamilifu atapambana waafrika wote watoke kiuchumi in short waafrika lazima tuinuane ili tuikabiri dunia mtazamo wake ni wakuring fence mawazo ambayo hayaisaidii africaNadhani sio katika kundi la kuaminiwa na Maghufuli. Katika siasa kila mtu yupo kwenye inner circle Fulani.
Pili, ambalo ni muhimu, jamaa kwa kweli bado inabidi afanye some homework kwa sababu mengi anayoongea si ya kweli.
Facts nyingi anazoongea ni za kupika kama alivyo Zitto Kabwe. Tatizo ni kwamba, ukipinga serikali (ambayo ni haki ya msingi) una uhakika wa kudhaniwa kuwa una uelewa mkubwa na unafikiri nje ya sanduku.
Ila huwa wanaongea kwa hisia kama waimbaji wa R&B. Mtu anaeongea kwa hisia, muogope mara nyingi ni mnafiki. Ndiyo maana waimbaji wengi wa R&B siyo watu wazuri kwenye mapenzi.
Tafuta clip ya hotuba moja uliyoipenda ya waheshimiwa hawa waili, nitakuonyesha wapi wanapokosea dakika kwa dakika.
Mkuu kukosoa haijawahi kuww kazi ngumu.kimbembe siku ukiwa mfanya maamuzi ndo utajuta ,Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Yes umesema yote ,utazikia mbona Fulani kaachwa ,mara mbona amewatumia viungo WAKATI waote mbwembe nyingi.sasa siku utakaapo pewa Tim ndo uta k po ona vitukoMchambuzi wa uchumi ni kama wachambuzi wa soka, mpe timu aifundishe sasa .....kituko
Ana elements za Lowasa. Hawezi pewa chochote, labda kunyang'anywa na alichonacho!Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
woiiiii ....mbona facts zake zipo open sana ziko vizuri pia nimoja ya majembe ambao wakitoa critics na ushauri anakupa ufanyeje ili undercome he is way better mimi mpinzani ila yupo vizuriNadhani sio katika kundi la kuaminiwa na Maghufuli. Katika siasa kila mtu yupo kwenye inner circle Fulani.
Pili, ambalo ni muhimu, jamaa kwa kweli bado inabidi afanye some homework kwa sababu mengi anayoongea si ya kweli.
Facts nyingi anazoongea ni za kupika kama alivyo Zitto Kabwe. Tatizo ni kwamba, ukipinga serikali (ambayo ni haki ya msingi) una uhakika wa kudhaniwa kuwa una uelewa mkubwa na unafikiri nje ya sanduku.
Ila huwa wanaongea kwa hisia kama waimbaji wa R&B. Mtu anaeongea kwa hisia, muogope mara nyingi ni mnafiki. Ndiyo maana waimbaji wengi wa R&B siyo watu wazuri kwenye mapenzi.
Tafuta clip ya hotuba moja uliyoipenda ya waheshimiwa hawa waili, nitakuonyesha wapi wanapokosea dakika kwa dakika.
Anauwezo mzuri, ila ana upuuzi mkubwa.Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Facts zake zipo mixed sana, haziakisi point zake. Mfano sikiliza hotuba hii ambayo alitumia sana statistics.woiiiii ....mbona facts zake zipo open sana ziko vizuri pia nimoja ya majembe ambao wakitoa critics na ushauri anakupa ufanyeje ili undercome he is way better mimi mpinzani ila yupo vizuri
BASHE HUSEIN hama chama cha mapinduzi,njoo huku tupambane na Lissu atakuwa ametia nanga mbona utanikumbuka.
Ni mtetezi wa wanyonge.Akiteuliwa uwaziri atafungwa mdomo.Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Yuko vzuri.
SWALI LANGU, UNAWEZA KWENDA SOMALIA UKANUNUA URAIA ALAFU UKAPEWA UWAZIRI?Ni mtanzania safi kabisa ila kila nikifatilia siasa za nchi yangu inavyoendeshwa kweli naamini "SIASA NI MCHEZO MCHAFU"
Aaaa!!!..wapi?Wewe unataka kumponza mwenzako
Mawaziri wazigua mbona wamejaa na bado wanauraia wa Tanzanzia.SWALI LANGU, UNAWEZA KWENDA SOMALIA UKANUNUA URAIA ALAFU UKAPEWA UWAZIRI?
hizi chuki za kiswahili tabu sana huyu ni mtanzania hujaona majuzi dada yake kaukwaa kuleUSADalali huyo wa wasomali wenzie kwenye kupata vibari vya kuingiza sukari nchini watu wa pwani tunasema afai hata kwa kulumagia...
Vibari=VibaliDalali huyo wa wasomali wenzie kwenye kupata vibari vya kuingiza sukari nchini watu wa pwani tunasema afai hata kwa kulumagia...
Shukuran kwa kuniweka sawa hapo unajua sie wengine shule yetu ya ukubwani shukuran sna...Vibari=Vibali
Sio mtanzania huyo msomali labda ww usie mjua mwenyewe anajinasibu kwa usomali wake mtanzania Rage maana ajinasibu nao usomali wakehizi chuki za kiswahili tabu sana huyu ni mtanzania hujaona majuzi dada yake kaukwaa kuleUSA
Rostam Aziz changaya na Lowassa.Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!