Mr.HUSSEIN BASHE

We we ndiyo unaona hivyo.
Ukiangalia post yangu ya Kwanzaa kwenye uzi huu utagundua nilitaka kuchallenge jinsi anavyonukuu takwimu na kuzitafsiri.
Uko sahihi kuhusu mimi kuona hivyo.

Lakini hapa chini sijaona hata mfano tu wa 'data' zozote ulizotumia ku-'crush' hayo unayosema kupikwa kama mfano, ila unakimbilia wengine walete ndio uonyeshe kwa kisingizio cha 'cherrypicking'.

Yeah, so?
 
Bashe yupi huyo unaemzungumzia?huyo kibaraka wa Lowassa na Rostam?
kumteua Bashe kua waziri ni sawa tu na kumteua Rostam kua waziri
 
Haiwezekan Rais wa Tanzania akawa si Mtanzania
 
Uko sahihi kuhusu mimi kuona hivyo.

Lakini hapa chini sijaona hata mfano tu wa 'data' zozote ulizotumia ku-'crush' hayo unayosema kupikwa kama mfano, ila unakimbilia wengine walete ndio uonyeshe kwa kisingizio cha 'cherrypicking'.
Ndugu yangu achana na Kobello, ni mmoja katika wale wateteaji wakubwa wa status quo...yaani haijalishi nani yuko madarakani, yeye ni kutetea tu. Alivyokuwa anaitetea serikali chini ya Kikwete, huwezi kuamini ni huyu huyu anayeitetea serikali chini ya Jiwe. Nyakati hizo juhudi zake kubwa zilielekezwa katika kuponda data walizokuwa wakitoa waliokuwa wanaikosoa serikali hiyo. Najaribu kutafuta jina sahihi la mtu mwenye tabia kama zake lakini bado nimeshindwa.
 
WEWE NI MTANZANIA KWELI? KAMA KWELI BASI HAUKO SAWA KICHWANI.
 
Nilishamjua tokea siku nyingi huyu. Kumnyamazia ni kumpa heshima ya kuendelea ku'bully' watu kama anavyofanya huyo anayetumia vyombo vya dola ku'brutalise' wengine. Kwa vile hapa hakuna polisi, tutakataa kuburuzwa kimawazo.
Wacha wafanye huko huko mitaani, lakini sio hapa.
 
Kokoto au Changarawe.
 
Umeandika mavi
 
We ndiyo mke wa Bashe ?
 
Mkuu umetuhama au ninakosea mkuu ????
Mimi nimekihama chama cha mapinduzi nimehamia chama cha DEMOKRASIA NA MAENDELEO na niko underground kwa sasa il vyama vya CUF ya Maalim Seif na Chadema vitakapoungana
 
jiwe hataki wajuaji na wakosoaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…