Mr.HUSSEIN BASHE

Hili ndilo tatizo la watu wanaojiona wao wanachokijua ndio sahihi na mawazo ya wengine sio
Kwa vile umezungumzia facts, wewe ndio ulitakiwa utoe mfano wa hizo unazoziona kuwa ni uongo na unafiki. Badala yake unasukumiza uletewe ndio uchambue!
Naeza kuweka clip moja nikachambua na wewe au mtu yeyote akitaka atachambua. Tatizo nisije kuambiwa nime - cherrypick.
Ndiyo maana nikatoa nafasi.
Mimi huwa sitoi vitu kichwani mwangu, nataja numbers, sources etc...
Huwa nanukuu.
 
Naeza kuweka clip moja nikachambua na wewe au mtu yeyote akitaka atachambua. Tatizo nisije kuambiwa nime - cherrypick.
Ndiyo maana nikatoa nafasi.
Mimi huwa sitoi vitu kichwani mwangu, nataja numbers, sources etc...
Huwa nanukuu.
Sio peke yako mwenye uwezo wa kunukuu namba kama zinahitajika.
Lakini pia ni mhimu uelewe kuwa kutoa vitu kichwani hakuna uhalali kufuatana na mazingira yaliyopo. Kwa hiyo usibeze hilo.
 
Sio peke yako mwenye uwezo wa kunukuu namba kama zinahitajika.
Lakini pia ni mhimu uelewe kuwa kutoa vitu kichwani hakuna uhalali kufuatana na mazingira yaliyopo. Kwa hiyo usibeze hilo.
Usiwe na inferiority complex.

Ni wapi niliposema ni mimi peke yangu ndiye ninayetoa takwimu? Jadili issues, kama nimesema Bashe huwa anapotosha kwa makusudi au kwa kutofahamu ni kwa sababu namsikiliza na kufuatilia zaidi vitu anavyosema.

Kwa hiyo, if confronted, naweza nikatoa ushahidi. Naweza kuchagua maoni, au mtu akachagua maoni fulani au hasa takwimu fulani alizotoa Bashe na ku-challenge wapi alipokosea. N mimi nitamuonyesha.

Usijali kuhusu mimi kujidai, wewe crush data na maoni yangu, hayo mambo ya kusema haupo peke yako mimi sipo sana kwenye taarab.
 
Hilo la "inferiority complex" shughulika nalo mwenyewe kama linakusumbua. Mimi sina habari nalo kabisa
Mimi huwa sitoi vitu kichwani mwangu
Kwa nini udhani Bashe au mtu mwingine yeyote hutoa vitu kichwani bila ya kusoma na kunukuu inapobidi. Kwa nini unataka wewe ndio uwe mfano wa kuigwa?
Kumsikiliza kwako Bashe na kumkosoa hakuwezi kuwa wewe ndie mwenye maoni sahihi peke yako.
Unavyochambua anayowasilisha Bashe na kuyakosoa haikupi haki wewe kuwa ndie mwenye neno la mwisho kwenye maoni hayo.
 
Wapi niliposema Bashe hutoa vitu kichwani? Onyesha hiyo post.
 
Sijui tutaacha lini kuchagua viongozi wetu kwa kuangalia anayejua kuongea kama chiriku
 
Your smart bro.
 
Ulikuwa unamzungumzia nani 'kutoa vitu kichwani'.
Umeulizwa swali rahisi.
Nimekwambia mimi huwa sitoi vitu kichwani, nanukuu sources na takwimu nikimaanisha ni rahisi sana kunichallenge kwa kutumia takwimu na sources na siyo kuni-attack personally.
Uliposema nadhani najua kila kitu, ndiyo nikakujibu kuwa mimi natumia data. Na hizo data, siyo zangu, sijafanya research ila ni research za wataalam wanaoaminika.
.Kwa hiyo ukitaka niprove mimi nita-back up what I've said .
 
Kumbuka kua jamaa mwaka fulani washamwambia sio mtz kama mnakumbuka hata the green wanjilaumu kupitisha kuwania ubunge lakini hawakua na jinsi maana jimbo lingezama walifanya hivyo kuokoa jimbo hivyo kumpa uwaziri hawampi
 
Mbona mafisadi walikimbilia CHADEMA wakati ule? Na ilikuwa wazi Bashe alikuwa akiwasapoti kuwa ndio walikuwa wanastahili kupewa nchi? Ila wakati ule chale zikamcheza akasita kuhama nao? Sasa huo uzalendo wa Bashe leo unatoka moyoni kweli?
 
Vipi Dr Slaa mbona anapeform vizuri hata Baba wa Taifa alikuwa mchambuzi mzuri na akaongoza vizuri. Kwa hiyo sio kila mchambuzi mzuri hawezi kuongoza vizuri.
 
Wewe huoni unaposema haya , 'implication' yake ni kwamba hao unaotafuta kuwakosoa wanatoa vitu vichwani mwao bila ya kutafuta data na kuzi''prove' kama wewe unavyofanya?
Kama ni swali rahisi, huoni jibu rahisi pia!
 
Wewe huoni unaposema haya , 'implication' yake ni kwamba hao unaotafuta kuwakosoa wanatoa vitu vichwani mwao bila ya kutafuta data na kuzi''prove' kama wewe unavyofanya?
Kama ni swali rahisi, huoni jibu rahisi pia!
We we ndiyo unaona hivyo.
Ukiangalia post yangu ya Kwanzaa kwenye uzi huu utagundua nilitaka kuchallenge jinsi anavyonukuu takwimu na kuzitafsiri.
 
Huyo ni pandikizi la kimataifa halifai kuingia kwenye system ya TZ mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…