GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,036
- 126,519
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Tafakari je hazina hiyo inatumika sawasawa? Na kama sio kwanini?Chama tawala kina hazina kubwa.......
Mkuu umetuhama au ninakosea mkuu ????Hii CCM ya mafisadi wauaji,....bashe mwenyewe alibanwa korodani na mlango kwa sababu ya kuongea hi mind,mimi baada ya NAPE ni BASHE kuna mapungufu kila mtu anayo ila Bashe asiposoma alama za nyakati atauwawa kisiasa na huenda akatengenezewa kifo BASHE HUSEIN hama chama cha mapinduzi,njoo huku tupambane na Lissu atakuwa ametia nanga mbona utanikumbuka.
Mkuu nashukuru sana yaani ulivyonikumbusha huyo jamaaa polepole,naona thamani ya hii post haipo tena ,ni kweli uchambuzi sio kigezo,ila tumchambue zaidi back side yake kuacha hotuba za uchangiaje wake bungeni!Kuchambua,kuongea na urais ni kitu kingine,hata Polepole alikuwa ni mchambuzi mzuri sana wa katiba aliyekuwa pamoja na wananchi baada ya kupata kawaacha wananchi utafikri siyo Polepole yule wa katiba mpya.
point number mbili nimeipendaNadhani sio katika kundi la kuaminiwa na Maghufuli. Katika siasa kila mtu yupo kwenye inner circle Fulani.
Pili, ambalo ni muhimu, jamaa kwa kweli bado inabidi afanye some homework kwa sababu mengi anayoongea si ya kweli.
Facts nyingi anazoongea ni za kupika kama alivyo Zitto Kabwe. Tatizo ni kwamba, ukipinga serikali (ambayo ni haki ya msingi) una uhakika wa kudhaniwa kuwa una uelewa mkubwa na unafikiri nje ya sanduku.
Ila huwa wanaongea kwa hisia kama waimbaji wa R&B. Mtu anaeongea kwa hisia, muogope mara nyingi ni mnafiki. Ndiyo maana waimbaji wengi wa R&B siyo watu wazuri kwenye mapenzi.
Tafuta clip ya hotuba moja uliyoipenda ya waheshimiwa hawa waili, nitakuonyesha wapi wanapokosea dakika kwa dakika.
Brazaa hapo utashtakiwa kwa takwimu fake haaaa 75%usaniiHata mawaziri. Wengi wao kwa kweli mungu atusamehe.
Ukichunguza kwa umakini, pale mjengoni asilimia 75% ni usanii.
Hakuna mtanzania kamili mpaka tutawaliwe na msomali? Angalia kenya inavyoteseka na alshabab kuwa tofautisha na walotoka Somalia ni shidaNimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Kuna harufu ya ukweli umemwaga hapa Braza, kweli naamini "an empty stomach is the bad advisor"waswahili wanasema "ukitaka kujua utam wa ngoma uingie ucheze"...km ulishawahi kucheza draft au mpira...utagundua kua ukiwa nje ya game unaona mambo mengi sana ila ukiwa ndani mambo ni tofauti...hawa wazungumzaji wazuri wakina Bashe,Zitto n the likes ukiwapa nafasi ktk uogozi utashangaa matokeo yao...
Brazaa unautani na mtu nn ,kwani kuna vipara vya aina nyingi, ila kuna kipara si vyema tukakizumzia hapa kwa ustawi wa kesho yetu nadhan umenielewa mkuuunaambiwa watu wenye vipara uelewa wao ni mdogo sana
Ana waziri mkuu mzuri, Foreign affairs, Treasury na Local governments kote mawaziri wake naona ni watu smart sana na wanachapa kazi.Brazaa hapo utashtakiwa kwa takwimu fake haaaa 75%usanii
Unamzungumziaje aliyewateua mpka aibu haaa
Nadhani wewe ndo umeshindwa kusoma alama za nyakati.Hii CCM ya mafisadi wauaji,....bashe mwenyewe alibanwa korodani na mlango kwa sababu ya kuongea hi mind,mimi baada ya NAPE ni BASHE kuna mapungufu kila mtu anayo ila Bashe asiposoma alama za nyakati atauwawa kisiasa na huenda akatengenezewa kifo BASHE HUSEIN hama chama cha mapinduzi,njoo huku tupambane na Lissu atakuwa ametia nanga mbona utanikumbuka.
Well ,well, tupate mawazo mbadala ya watu lakin wanaosoma na kufanya tafiti zenye mantiki kwa ustawi wa nchi yetu.mapinduzi yataletwa na mawazo kama ya Bashe na sio wazee wa kwenye mdahalo , maana tafiti zinaonesha ukishakua mzee akili zinapungua sana kama mlivoona wale wazee akili zao zilishapungua wanatembelea initial za elimu zao
Kwanini Usiseme FISADI KUU kuliko kusema Mamvi?Alikuwa kambi mamvi na mzee ni mtu wa kuweka visasi.
Pili, ambalo ni muhimu, jamaa kwa kweli bado inabidi afanye some homework kwa sababu mengi anayoongea si ya kweli.
Facts nyingi anazoongea ni za kupika kama alivyo Zitto Kabwe. Tatizo ni kwamba, ukipinga serikali (ambayo ni haki ya msingi) una uhakika wa kudhaniwa kuwa una uelewa mkubwa na unafikiri nje ya sanduku.