Mr Blue hajawahi kuboa

Mr Blue hajawahi kuboa

Tofalizito

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2020
Posts
343
Reaction score
1,450
Tukiachilia mbali mafanikio mwanamuziki pekee hasa katika hiphop ambae hajawai kuchuja ni Mr Blue. Huyu jamaa ni noma anajua anachofanya na ukijaribu kumshirikisha kakufunika mfano ule mwimbo aloshirikishwa na Jux aliwafunika vibaya.

Hongera bayser

mrbluebyser1988___B_15X89hvbl___.jpeg
 
Kiukweli Mr. Blue anajitambua, ingawa kuna wakati alitaka kupoteza control sababu ya stress. Mimi ni shabiki wa Mr. Blue tangu alipoanza muziki...
 
We mtoto bwana
Wa Moto sana
Mtoto una laana
Mtoto mnyama
Ni ndoto ama?
Mbona joto sana

Hahahah! Byser kaua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom