Mr Blue (baycer) the special thread

Si tunaonglea mzik wake mkuu,hayo mambo ya sura waachie akina mama wa CCM waliomchugua Kikwete kisa HB..

Na kama unataka ujadil sura kaanzshe special thread ya HEMEDY PHD au MO RACKA..

Hao Uliowataja Sio ma-HB kabisa,wao ni wapaka poda na scrub tu,hata wewe Somji ukipaka poda na scrub unakuwa handsom,Mr.Blue alikuwa Natural HB,,,U-HB ulikuwa unambeba sana,bilieve dat waahneee brrrrrrrr,that bird call.
 
Unajuwa ww kama binadamu lazima ujifunze kutokana na makosa kuna kipindi ndugu yetu alikuwa akipiga kile kitu cha Arusha na kuvuta maunga alikuwa anajistarehesha lakin baadae ukaja ukawa unamuharibu haikuwa shida mashabiki wake tuka mweka kitako tukamwambia huko unako kwenda dogo siko achana na upuuzi huo unaoufanya nampongeza saana kwa kusikiliza ushaur wa mashabiki wake akaachana na vile vitu sasa hivi amekuwa ni best rapper

Acha uwongo blue hadi kesho bangi kama kawa ...!
Njoo bonde la mchicha .
 
Huyo Mo rocka kuna siku nilikutana nae mitaa ya sinza,
Mimi nilikua na mishe mishe zangu natafuta bodaboda ili niwahi mara naona jamaa anapita na bodaboda yenye namba nyeupe huku amevaa vesti, mimi sikumjua nikamsimamisha kwa makelele kabisa, badabodaaa! Kajamaa kakageuka kakaniangalia kwa dharau kisha kakaondoka.
My take: mastaa jaribuni kujiweka katika muonekano walau wa tofauti kidogo.
 
Kwani Mo racka ana ustar gani bongo hapa
 
Blue alikuwa zamani miaka ya 2004 mpaka 2008,hapo alikuwa Super Handsome madada walimshobokea sana ila sasa ile sura ya u-HB yote imeondoka kabakia wakawaida tu sura ya kiume,ila ana mtoto wa kiume shombe shome.

Ni lile para linamponza, anaonekana kama zinja fulani, atafute dawa za kuotesha nywele mbona atakuwa poa tu...kuhusu muziki si haki kusema kuwa amepotea coz wimbo wa pesa umemrushia uhai sana...amejitahidi sana na anastahili pongezi...nadhani tuwaombee watu kama kina Nature, Inspector, AY, GK...naona wanastrugle sana kurudisha uhai lakini wapi.
 
Huyu jamaa mwaka 2008 niliusikiaga wimbo wake flani hivi kipande...mistari inaenda " hata nisipo zima dar nitazima kenya...ebana nimeutafuta mpaka nimechoka aiseee
 
Huyu jamaa mwaka 2008 niliusikiaga wimbo wake flani hivi kipande...mistari inaenda " hata nisipo zima dar nitazima kenya...ebana nimeutafuta mpaka nimechoka aiseee

Mkuu hapo kuujuwa huo wimbo lazma upige lamli aiseeee
 
blu namkubali sana sijawahi kukudis ila ulinikera kipindi kileee cha kugombanisha watoto zanaki
 
Usisahau kutuitia akina Warumi,nifah na mama facebook wambiye tunawasubir huku waje wamuone babylon beezy

Hahaaaa uwe unatumention basi jamani hivihivi hatuoni hadi tupitepite...lol
Anyways,namkubali sana msela wa kino ana swaga flani hivi za kinyamwezi sitaki kukumbuka enzi za blue blue,mapozi....
Zaidi ni hii video yake ya pesa namuona Kiba pale...hatari sana
Coco beach naona pale
 
Back
Top Bottom