Mr. 2 proud a.K.A jongwe , urais 2025

Mr. 2 proud a.K.A jongwe , urais 2025

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
2,705
Reaction score
4,971
Oya , Nasemaje?

Huyu mwamba, kama CHADEMA wakijichanganya wakasema wampitishe kuwa mgombea wa Urais 2025 kupitia ticket ya chama hicho, ..I am telling you...this guy will win the election mchana kweupe.

Cause , masela wote, Wana, wahuni , mabaharia na kwa ujumla watu wote wa Nchi hii watatoka pande zote za kitaa, vijiweni, maskani , magetoni na kwenda kumpigia kura!

Na huyu jamaa akiwa Rais..I am telling you,..Hii Nchi itakua sio tu kuwa na Mafanikio lakini pia itakua na maendeleo ya kutosha.

Nasemaje...sikia hii....Jamaa ataupata Urais kimasihara sana na wala CCM hawata amini hata kidogo...watabaki wamepigwa na butwaa.

#ThePowerOfYouthMentality
 
Nchi haitakiwi kuongozwa kishikaji au kibrazameni
Don't judge a book by its cover.

Kipi bora kuwa mshikaji au blazamen ndani ya mwili wako au nje ya mwili wako? You be the judge!

And by the way....kwà taarifa yako...mablaza men na washkaji ni hao unaowasikia wakisema ni bora Wabunge wajadili issue za waganga wa kienyeji na sio wajadili hoja za msingi.
 
Anaruhusu vizuri tu, mke kamtawala sana ili kumkomoa baby mama wake.

Anyway chadema hamuaminiki,maana kilewo alishaanzisha uzi humu akisifia ndoa yake na joyce kiria kwa ID nyingine zilipounganishwa akaumbuka. Isije kuwa nawe ni sugu umekuja kujipigia debe humu
Mwamba hawezi kuruhusu issue kama hizi zitokee.
 
Yani ndio maana Great thinker akina nyani Ngabu wamejitoa. jF

Hoja yako ni Dhaifu mno.

1. Urais sio usela.
2. Kura za box haziamui MATOKEO ya urais Africa
3. Huko vijiweni ni MATOKEO ya kukosa ajira
UPUMBAVU wa viongozi.
Vijiweni Kuna Ukosefu wa Elimu, kudanganyana , BANGI unga nk

Kama vijana ndio nyie

Masikini Tanzania Yangu
 
Kwa kifupi watanzania walio wengi wanataka mabadiliko ya kisiasa, hata ukiliweka jiwe watalipigia kura kuliko kukipigia chama cha kijani kilichokaa madarakani muda mrefu tangu kuasisiwa kwake. Hicho chama kinajua kuwa hakitakiwi ndio maana kinajizatiti kila idara kuhakisha hakitoki madarakani kizembezembe
 
Oya , Nasemaje?

Huyu mwamba, kama CHADEMA wakijichanganya wakasema wampitishe kuwa mgombea wa Urais 2025 kupitia ticket ya chama hicho, ..I am telling you...this guy will win the election mchana kweupe.

Cause , masela wote, Wana, wahuni , mabaharia na kwa ujumla watu wote wa Nchi hii watatoka pande zote za kitaa, vijiweni, maskani , magetoni na kwenda kumpigia kura!

Na huyu jamaa akiwa Rais..I am telling you,..Hii Nchi itakua sio tu kuwa na Mafanikio lakini pia itakua na maendeleo ya kutosha.

Nasemaje...sikia hii....Jamaa ataupata Urais kimasihara sana na wala CCM hawata amini hata kidogo...watabaki wamepigwa na butwaa.

#ThePowerOfYouthMentality
Unaota
 
Wanaopewa urais ni watu inner circle a.k.a deep state, yaani apewe mtu from no where kwa kuwa sanduku la kura limemkubali? Hiyo itakuwa ni demokrasia ya daraja la kwanza duniani na hiyo nchi itakuwa ni nchi tajiri
 
Oya , Nasemaje?

Huyu mwamba, kama CHADEMA wakijichanganya wakasema wampitishe kuwa mgombea wa Urais 2025 kupitia ticket ya chama hicho, ..I am telling you...this guy will win the election mchana kweupe.

Cause , masela wote, Wana, wahuni , mabaharia na kwa ujumla watu wote wa Nchi hii watatoka pande zote za kitaa, vijiweni, maskani , magetoni na kwenda kumpigia kura!

Na huyu jamaa akiwa Rais..I am telling you,..Hii Nchi itakua sio tu kuwa na Mafanikio lakini pia itakua na maendeleo ya kutosha.

Nasemaje...sikia hii....Jamaa ataupata Urais kimasihara sana na wala CCM hawata amini hata kidogo...watabaki wamepigwa na butwaa.

#ThePowerOfYouthMentality
Kweli mmechanganyikiwa 😅

Sugu huyu huyu aliyetoa album anamtukania Ruge Mutahaba mama yake mzazi?

Hivi Sugu anaweza hata kusoma financial report? 😊😊
 
O
Oya , Nasemaje?

Huyu mwamba, kama CHADEMA wakijichanganya wakasema wampitishe kuwa mgombea wa Urais 2025 kupitia ticket ya chama hicho, ..I am telling you...this guy will win the election mchana kweupe.

Cause , masela wote, Wana, wahuni , mabaharia na kwa ujumla watu wote wa Nchi hii watatoka pande zote za kitaa, vijiweni, maskani , magetoni na kwenda kumpigia kura!

Na huyu jamaa akiwa Rais..I am telling you,..Hii Nchi itakua sio tu kuwa na Mafanikio lakini pia itakua na maendeleo ya kutosha.

Nasemaje...sikia hii....Jamaa ataupata Urais kimasihara sana na wala CCM hawata amini hata kidogo...watabaki wamepigwa na butwaa.

#ThePowerOfYouthMentality
"Ogopa kundi la wajinga wakiwa kwenye makundi makubwa, wanaweza kumchagua mjinga mwenzao kuwa Rais"

MzeeKipusa umekula msokoto wa Tabora baada ya kula makande, ndiyo hayo yanakufanya umuone Sugu Rais wenu
 
Mtu akiniambia huyu mtoa mada sio sugu ntabishana. Huyu jamaa anajiona anakubalika sana. Kwahiyo nchi nzima ina wahuni na wavuta bangi? You are so delusional. Pambana na faiza wako acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watanzania
 
Back
Top Bottom