Nipo mpendwa, za wewe?umepota dada ka jasho la samaki vp upo?
Hongereni... na karibuni chama cha TAMU....
Nipo mpendwa, za wewe?
Nimeipenda sana sana hii
Kweli mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku zile ambazo huwezi tena kufanya lolote na watakuwa wanakuamrisha kama mtoto
Na kumbuka tuu kwamba mambo yote tufanyayo ni ubatiki mtupu
Na kila jambo na wakati wake wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna
hahaha mkuu kiwatengu hakuna file limechanganywa apo, unavomwombea mwananthropolojia azidi kubaki huko porini una mpango gani na mimisa? Ndio nakusaidia ivo uijue the guide mapemaaaaa