matamauruke
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 348
- 211
Salama wakuu! mpya humu ndugu zangu salama?
Asante sanaKaribu sana
Pamoja sanaDah!! Tehe! Tehe! Tehe!! Togwa Umenikumbusha Marehemu Bibi Yangu!!! Kinywaji Chetu Cha ASILI!! Karibu Mno Mkuu!!! HUMU HOJA Na EVIDENCE Ndio Msosi Wetu Mkubwa!!!!
Asante kamanda pamoja sanaWewe ni senior member halafu watu wanakukaribisha leo???
Twakuhofia weweSalama wakuu! mpya humu ndugu zangu salama?
Na enjoy sana kwa kweli!Twakuhofia wewe