Halafu pembeni yao kuna libendera kuubwa la ccm!wakitoka hapo wanakwambia ccm imeleta maendeleo..kweli tunahitaji kupimwa akili
Yaan hawa wagogo mungu saidiaNdio wajipange.........wasifanye kosa tena katika uchaguzi.......la sivyo wataenda hivyo miaka 100 ya uhuru..........
Wananchi wa kijiji cha lupeta wilayani mpwapwa mkoani dodoma wanaendelea kutibiwa chini baada ya miaka 50 ya uhuru,jamani huu ni uhuru au dhuruma?
Chanzo ITV habari
Yaan hawa wagogo mungu saidia
Lubeleje si huwa anawanunuliwa miwa au wewe mkuu huwa hupendi miwa? kwakweli wilaya ya mpwapwa bado mpo usingizini,mnahitaji kuchapwa viboko ndo mtaamka. Na mwaka huu Lubeleje huenda akarudi mjengoniHapo Lupeta ndipo alipozaliwa aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mpwapwa Mh. George Malima Lubeleje. Na safari hii ametia nia tena kutaka ubunge. Kwa kweli hili kabila langu ni gumu sana kubadilika, pamoja na shida kubwa wanazozipata lakini ni wepesi kudanganyika hakuna. Kabila langu litakuwa la mwisho kwenye huu ukombozi na sababu kubwa ni wengi hawajasoma na wanaamini mfumo wa maisha hauna uhusiano na utawala wa nchi. Kabila langu kulielimisha ni kazi kweli kweli na nafikiri hii ndiyo njia pekee nzuri ya kuwaelimisha. Acha tu waendelee hivo hivyo hata miaka 100, maana wanaambiwa na ccm kuwa vyama vya upinzani vinataka kuleta vita na wanaamini.
Halafu pembeni yao kuna libendera kuubwa la ccm!wakitoka hapo wanakwambia ccm imeleta maendeleo..kweli tunahitaji kupimwa akili
Hapo Lupeta ndipo alipozaliwa aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mpwapwa Mh. George Malima Lubeleje. Na safari hii ametia nia tena kutaka ubunge. Kwa kweli hili kabila langu ni gumu sana kubadilika, pamoja na shida kubwa wanazozipata lakini ni wepesi kudanganyika hakuna. Kabila langu litakuwa la mwisho kwenye huu ukombozi na sababu kubwa ni wengi hawajasoma na wanaamini mfumo wa maisha hauna uhusiano na utawala wa nchi. Kabila langu kulielimisha ni kazi kweli kweli na nafikiri hii ndiyo njia pekee nzuri ya kuwaelimisha. Acha tu waendelee hivo hivyo hata miaka 100, maana wanaambiwa na ccm kuwa vyama vya upinzani vinataka kuleta vita na wanaamini.