Kuna mpunga unauzwa kwa bei chee, mpunga huu ulinyeshewa mvua wakati unavunwa...na hivyo ukikobolewa unakuwa na rangi mbili means original (nyeupe) na fake (njano)...kwa wale wanaohtaji huo mpunga kwa ajil ya chakula cha kuku au vinginevyo tuwasiliane kupitia 0766101435...tupo tabora mjini ...