Mpunga! Mpunga! Mpunga!

Tuliwonda

Senior Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
121
Reaction score
35
Salam wadau, napenda kuwataarifu kuwa sasa nimeshaanza kuuza mpunga, bei ni sh 100,000 kwa gunia la kilo 90. Kwa yeyote atakaependa kununua, tafadhali usisite kuni PM. Karibuni sana.
 
Source ya io mpunga?
 
Mh kama wa Mwanza nitakuwa nimenunua mawe/mchanga, mpunga wa Mwanza na Shinyanga hukung'utiwa kwenye udongo badala ya mkeka au magunia.Ungekuwa mpunga made in Kyela hapo ningevuta uzi lakini kama wa Mwanza hata buure siutaki
 
Acha kuharibu biashara ya watu! Kataa kivyako watu tunasema nao huu mchele! Baadhi ya watu wakiwa maskini na akili zao zinadumaa, wanaona gere wenzio wakijaribu kutoka.

Badili tabia.
 
Acha kuwa tapeli,kwanini uwauzie wenzako kitu kisichofaa kisa kuendeleza njaa yako,mpunga wa Mwanza na Shinyanga ni mawe matupu ,kusema ukweli ndio kuharibu biashara,je angesema ana mpunga wa Morogoro au wa Babati unafikiri ningeandika hivyo
 
Ngoja nipige hesabu kuona kama nitapata faida

Kununua =====>100,000/-
Kusaga ==> 90 x 70/-= 6,300/-
Labour==> 15,000/-

Jumla ==.> 123,000/=

Mapato kutokana na uzoefu ukipata mpunga mzuri unatoa mchele 2/3 x 90 = 60kg

Whole sale price 1800/= - 2000/= per kg

Hivyo say 60 x 2000 = 120,000/=

Naomba Punguzo mkuu
 
Salam wadau, napenda kuwataarifu kuwa sasa nimeshaanza kuuza mpunga, bei ni sh 100,000 kwa gunia la kilo 90. Kwa yeyote atakaependa kununua, tafadhali usisite kuni PM. Karibuni sana.

wewe lazima utakuwa una akili ya kifisadi.Gunia la mpunga lenye kilo 90,ukikoboresha utakuwa na kilo kama 40 za mchele. Kwa bei yako ya shs 100,000/ ni sawa na tshs 2500 kwa kilo ya mchele,hapo hujaangalia gharama za kukoboreshea mpunga na risk zingine kama mpunga kukatika katika wakati wa kukoboresha na usumbufu mzima wa zoezi lenyewe.Kwa nini nisinunue mchele kwa bei ya 2000 mpaka 2300 kwa kilo?

Acha kuwa tapeli,kwanini uwauzie wenzako kitu kisichofaa kisa kuendeleza njaa yako,mpunga wa Mwanza na Shinyanga ni mawe matupu ,kusema ukweli ndio kuharibu biashara,je angesema ana mpunga wa Morogoro au wa Babati unafikiri ningeandika hivyo

Unaonekana mweupe kichwani mkuu,usipende kugeneralize vitu,afterall jamaa hajakulazimisha ununue
kama vipi move ur a.ss kimya kimya!
 
Mh kama wa Mwanza nitakuwa nimenunua mawe/mchanga, mpunga wa Mwanza na Shinyanga hukung'utiwa kwenye udongo badala ya mkeka au magunia.Ungekuwa mpunga made in Kyela hapo ningevuta uzi lakini kama wa Mwanza hata buure siutaki

acha uongo wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…