Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Siasa zimekuwa nyepesi sana kila mtu anataka ubunge hata Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, hawa nao wanataka ubunge.
CC. chama,
Siasa zimekuwa nyepesi sana kila mtu anataka ubunge hata Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, hawa nao wanataka ubunge.
CC. chama,
Mkuu Mikael P Aweda huyu jamaa huwa anataka ajilinganishe na wakina Mwita Maranya na Mohamedi Mtoi kwa hivyo vimistari viwili ambavyo anaandika hapa jamvini anasahau kuwa yeye ni mwimba taarabuHivi wewe unadhani Mwita Maranya na Mohamedi Mtoi ni watu wepesi vichwani mwao? Hebu angalia hoja wanazotoa humu JF na uzipime. Mkuu hawa 2 wakifika bungeni kila mmoja atatoa hoja ambazo zinaweza kuwa sawa na vichwa 20 vya wabunge wa ccm wa viti maalum na wabunge 10 hivi wa majimbo. Ukubali usikubali huo ndio ukweli.
Kama wewe hata ujumbe wa nyumba kumi hupatiMbona umemsahau kuni(saatisa)
Urais wa JK ndo kisababishi cha haya yote, watu wanajiuliza kama kilaza JK kawa kwa nini asiwe yeye. Angalia vilaza kama Mwigulu anapewa cheo kikubwa CCM, Nape n.k......kwa nini watu wasione ni issue simple tuSiasa zimekuwa nyepesi sana kila mtu anataka ubunge hata Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, hawa nao wanataka ubunge.
CC. chama,
Ni vizuri ila kiswahil chake labda SPika asiwe Makinda hatamwelewa kabisa.Msanii wa musiki wa kiasili mrisho (Mjomba) amesema mwaka 2015 amesema atagombea ubunge bila kutaja CHAMA WALA JIMBO ATAKALO GOMBEA ameyasema hayo kwenye kipindi cha tuongee cha star tv leo.
Teh teh teh!Kweli Ruvuma imeingiliwa,jana nilikuwa nasoma gazeti la Tanzania Daima Joketi naye anasema atagombea ubunge huko Ruvuma!
Hana jipya huyo, anapenda kuficha manaeno. hawezi siasa za Bongo.
Kama wewe hata ujumbe wa nyumba kumi hupati
hata asipotaja chama huyu bwana si mwana -magamba!Msanii wa musiki wa kiasili mrisho (Mjomba) amesema mwaka 2015 amesema atagombea ubunge bila kutaja CHAMA WALA JIMBO ATAKALO GOMBEA ameyasema hayo kwenye kipindi cha tuongee cha star tv leo.
Bila kutaja chama wala jimbo namuona ni mbabaishaji , labda ndo nauli aliyokuwa anaisema hiyo