Mpoleeeeeeeeee yuko likizo?

Mpoleeeeeeeeee yuko likizo?

Not multiple ID's
Not at work!

Kamisiwa kiukweli kabisa, they thwea.:yawn::yawn::yawn:

Eti wangine wanasema kuwa na ndevu nyingi siyo kujua kucheza mpira kiasi cha kuwafunga Swansea..
 
Mie huwa sitaki presha
wenger kaspeshilizi kwenye 'High Blood Presure Management'

njoo the Blues angalau
huko ndio balaa kabsaaa...ile mijizee ndio itanimaliza kabisa kwa presha!!!
 
Hivi unajua hata yale yaliyopigaga kazi pale ubungoa mataa saa saba mchana niliyakubali sana.
Yalikuwa very creative.

Bila kujali jamii ya jf inamchukuliaje, mimi namwona kuwa very creative
 
Smiling Saint = Mpoleeee

hapana mkuu, they are two different people... SS ni ngosha wa kisukuma, mpoleee ni mchaga for what i knw, frankly ningependa hata kujua zaidi kuhusu yeye... but ndio hivyo tena simuoni... nakamis!
 
Smiling Saint = Mpoleeee

hapana mkuu, they are two different people... SS ni ngosha wa kisukuma, mpoleee ni mchaga for what i knw, frankly ningependa hata kujua zaidi kuhusu yeye... but ndio hivyo tena simuoni... nakamis!
 
Hivi unajua hata yale yaliyopigaga kazi pale ubungoa mataa saa saba mchana niliyakubali sana.
Yalikuwa very creative.

Yap. Utawalinganisha na wale vilaza walioshindwa kuokoa dhahabu yetu pale geita?
 
hapana mkuu, they are two different people... SS ni ngosha wa kisukuma, mpoleee ni mchaga for what i knw, frankly ningependa hata kujua zaidi kuhusu yeye... but ndio hivyo tena simuoni... nakamis!

si umPM..au sweetlady is right after all...unataka ujue wangapi wanakumiss..???
 
Nipo nae Geto,ngoja avae upande wa kanga anakuja kukujibu,Mx
 
Hivi unajua Mpolee ni jibaba???? ina maana uko nalo geto mnafanyaje???? au avatal yake ndo ilikuchanganya????? Angalia kijana bado tunakupenda na tunakuhitaji kwa Pinda na si Kwa Cameroon....hahahahaaa
 
ndugu yangu wee najua sana ni jike dume
 
unaaibisha mangoshap
au wewe ni ngosha chapa jogoo
ngosha chapa ya ng'ombe huwa hafanyi hivi.

Angalau basi kashangae mabugando
hapana mkuu, they are two different people... SS ni ngosha wa kisukuma, mpoleee ni mchaga for what i knw, frankly ningependa hata kujua zaidi kuhusu yeye... but ndio hivyo tena simuoni... nakamis!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom