Mpoleeeeeeeeee yuko likizo?

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
sijamuona siku nyingi kidogo nimeamua kuulizia leo yupo kweli? ...mtu akimuona akikatiza kwenye post yoyote tafadhali amuambie kuna mtu anamsalimu
 
Not multiple ID's
Not at work!

Kamisiwa kiukweli kabisa, they thwea.:yawn::yawn::yawn:
 
hahaaaaaaaaaa humu watu hawaachi vituko naona umeamua kutoka kivingine:nerd:
 
Ha hah ha Aisee hata mimi nimem miss sana huyu dada, sijui kaishiwa bundle!. kuna mwingine anaitwa NOT ENOUGH ana vituko kama mpolee. Nahisi is the same person
 
Ndo maana uko kama bundukiNikisema thwantwea unatimuka kwenye komputa yako.
Usinikumbushe kabisa....wale watoto jana walikuwa wanacheza jihad sana!!! waliniharibia siku yangu!!
 
he he he
aliyekuambia uende huko nani?
Hao wanacheza mpira wa ubuyu tu, ni ladha tu na makelele mengi bila magoli
njoo huku kwetu angalau tunajikongoja

itabidi tu nijiunge kwenye chama lako...sasa nani atakuwa anambembeleza mwenzake?
 
Mie huwa sitaki presha
wenger kaspeshilizi kwenye 'High Blood Presure Management'

njoo the Blues angalau

itabidi tu nijiunge kwenye chama lako...sasa nani atakuwa anambembeleza mwenzake?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…