Mpoki vs lipumba

Mpoki vs lipumba

maghambo619

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,536
Reaction score
1,360
Nimekumbuka sana jamaa alipokua anamuigizia prof lipumba mara baada ya uchaguzi wa igunga ........... " ukisoma kitabu cha pamela na kipini, ukasoma kitabu cha mzee tola anakula gizani, ukasoma hadithi za fikiri na uledi, bila kusahau kitabu cha mua uliozamisha meli, ukasoma tena kitabu cha hawafu shujaa,.. Utagundua kua tanzania hakuna demokrasia" ...... DAH! nimecheka sana, huyu jamaa hua hatumii akili kuongea!!
 
ukisoma kitabu cha fikiri kabla ya kutenda,kitabu cha utanikumbuka,sikuelewi na lalala,ni kweli kuwa hata wewe hujatumia akili kuandika haya,sijapotea jukwaa mkuu!
 
Back
Top Bottom