Mpoki na demi wa Kizungu.

Hahahah.. Mpoki ni mwehu. Kuna moja eti yeye ni Manager wa Tanesco, akawa anajibu pumba sana na joti aliigiza kama mwandishi wa habari anayemuhoji. Joti akamwambia "wewe Mzee una matatizo ndiyo maana mweusi" Mpoki akamjibu " ukiwa manager wa Tanesco kwa purukushani lazima uwe mweusi, nilikumbatia transfoma makao makuu ya Tanesco. Nilipigwa na short kali sana nikaangukia Mbeya na uweusi ndipo nilipoupatia"
 
Back
Top Bottom