comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,465
- 11,546
Kwa shida sana nimeingia jamvini!
Any updates????
Any updates????
Sio poa, natafuta thread ya yule jamaa mtibeli nione anasemaje na wenzake maana walibeza sanaMapambano yanaendelea
Unatumia nini kuingia jf? Mimi operamini imekubali mdahuu, Instagram mnaingia?? Kama mnaingia kwa vpn gan nzuri maana internet ilizimwaMapambano yanaendelea
Natumia chrome, bila VPN JF unaingia fresh tuuUnatumia nini kuingia jf? Mimi operamini imekubali mdahuu, Instagram mnaingia?? Kama mnaingia kwa vpn gan nzuri maana internet ilizimwa
Tokea jana??Natumia chrome, bila VPN JF unaingia fresh tuu
Leo mchana huuTokea jana??
Dar bado sio shwariLeo mchana huu
Namimi naona imekubali kwenye operaminiLeo mchana huu
Kimenuka sana naskia arusha huko na mwanza ndio hatariKuna mbwa humu walisema hatuwezi qmmae
Imerud lakin vpn zinagoma ku connect, Instagram hapaingilikiTupo mkuu sema tumefungiwa aisee naona mda huu ndio net inarudi lakini speed hakuna walahi
Yeah man ni kunomaa,Kimenuka sana naskia arusha huko na mwanza ndio hatari
Tumieni proxy au fiberImerud lakin vpn zinagoma ku connect, Instagram hapaingiliki
HahahaKuna mbwa humu walisema hatuwezi qmmae