Mpita njia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Ni mpita njia kesho atapata mwingine wakati wewe ungalipo, angalia asikuumize kwakuwa hatokuwa nawe milele ni mwizi wa mapenzi leo yuko na yule kesho yuko na cheupe keshokutwa yuko na jimama ni laghai tapeli wa mapenzi atakuvuruga atakuharibia ataondoka na furaha na tumaini lako kuwa makini na mpita njia mwizi wa mapenzi.

TCHAOOO....!!!
 
Kidesa mvurugano...
Hatari!
 
Nitajuaje kama ni Mpita njia
Action speak louder than words, utawafahamu kwa matendo yao na mikogo yao lakini ukitulia na kukikwepa kiwewe cha mapenzi. imagine mtu anakuambia wazi kama ana mke tena wa ndoa still u fall in love with such a guy kwangu mimi najua penzi haligawanyiki, huwezi kupenda wawili ilhali una moyo mmoja
 

Mhhhh unaweza kuwa umetulia kweli na ukaishia kupata garasa tena garasa hasa

anyway asante kwa nasaha
 
 
Last edited by a moderator:

looh! sitamani kukutana na mpita njia, nitaliaa
 
Je mpita uchochoro tumuite nan mwiz kibaka .Mafumbo ya nini weka vitu hazarani mkuu .......imekula kwako........
.
 
lakini atakuwa ashapita.... Unagundua late... By the way, ndoa za kiislamu zinaruhusu mke zaidi ya mmoja, sasa hapo mpita nia kwa ulivyoeleza si atajipitia kirahisi tu..??? Jibu upya swali la Heaven on earth
 
hapa napo pagumu. halafu wapita njia siku hizi wengi balaa.

hata wapitwa njia nao wengi sana....

Ugumu upo pale unapogundua kuwa huyu ni mpita njia wakati njia yako imeshapitwa na huwezi kuacha kupitwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…