Mpira wenye sheria nyigi duniani

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,565
1,516
Sheria za huu mpira zipo zaidi ya 17, nitataja chache nawe ongezea
1. Wenye Mpira sharti acheze hata kama hajui kucheza
2. Mwenye mpira, akiitwa ama akiondoka inakua mwisho mpira/mechi
3. Mwenye mpira ndie anae amua mapigo yote ikiwemo penalty , kona free kick etc
IMG-20200526-WA0042.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku Tulifungwa magoli selasnatano(Thelethini na Tano)

KUFUNGWA goli zaidi Ya 20 ni kawaida....

Kuna wanaocheza peku....

Mwenye Mpira ndo anaanza kuita wachezaji wake wakati huo Mnaoitwa mmejikusanya katikati ya uwanja......

Kama umewahi kucheza nahisi siyo mgeni wa msemo .....Ndiki Ndikika...,😂😂😂 Namtaka usi breini
....
 
  1. Mwenye mpira ndio mpanga tim
  2. Ukimuumiza mpira umeisha
  3. Mechi haiishi had tim ya mwenye mpira ishinde.
  4. Hairuhusiwi kucheza na viatu
  5. Ukipigia kufa kesho upati namba
  6. Mwenye mpira akiwa na kazi kwao mtamsaidia ili amalize mapema mkacheze
 
Back
Top Bottom