Dah! Aisee hii aibu. Mi nimeamua kuhama timu.
umehamia TLP kocha wake ni Lyatonga
Dah! Aisee hii aibu. Mi nimeamua kuhama timu.
wacha urongo weweeeeeeeeeeeeeeeeeee... mwenge shooting tulimpiga mtu 16 kwa nneuwanja wa old traford full rutuba ya magoli. mechi mbili za manu aseno na mancty
cheki 8+2+1+6=17. hamna uwanja mwingine duniani wenye mabao mengi hivi.
Huu sio ubinadamu
najua wengi watafurahia lakini ushindi wa man city 6 man u 1
sio ubindamu wafike wakati waanafunga waangalie wanachezea wapi
na wachezaji waliopo wako kiwango gani;;ingawa ni fundisho kwa ndugu yangu
fergy lakini naamini kama akwenda kanisani kuanzia leo ataanza kwenda kanisani
Dah! Aisee hii aibu. Mi nimeamua kuhama timu.
Leo mashabiki wa MAN SIX au MAN U mbona hampokei simu
Hiyo ilikuwa netball maana mchezo mmoja, uwanja uleule na timu mbili magoli 20 yakazalishwa kwa siku moja!!???wacha urongo weweeeeeeeeeeeeeeeeeee... mwenge shooting tulimpiga mtu 16 kwa nne