Mpira wa miguu ni kiwanda kinachoajiri vijana wengi

Ediwani

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
222
84
Mchezo wa mpira wa miguu pamoja ya kwa ni burdani kwa wachezaji na watazamaji, kwakweli inaajiri vijana wengi sana duniani. Hapa kwetu Tanzania pamoja na mkuu wetu wa nchi anapenda sana vijana wake wapate ajira/ kazi, wasaidizi wake walioko kwaye taasisi husika wanamwangusha sana mkuu wetu. Mfano mmoja tu ni ule wa vilabu kama Simba sc. wakitaka kubadili katiba yao ili iweze kubwa pesa nyingi za kuendesha club ikiwa ni pamoja kulipa mishahara kwa, under 17th, 20, wakubwa. n.k. anatokeza kiongozi mmoja anawakalia. Na nyingine ni hii ya marefa wetu kua na maamuzi ama ya kupendelea ama kutokua wajuzi, hivyo kuharibu kabisa maendeleo hii kiwanda kikubwa sana cha ajira. Ninavyoona.
 
Back
Top Bottom