Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Kwahivyo ulitakaje ulitaka goli la simba likataliwe hata kama ni halali kisa tu lilifungwa na simba, na ulitaka goli la stellenbosch likubaliwe hata kama siyo halali kisa tu lilifungwa na wapinzani wa simba, msitulazimishe tuwaone mashabiki wote wa yanga ni takataka hebu chambueni mpira msituletee huu upumbavu wenuTatizo simba mmezoea kubebwa na marefa, Simba mmebebebwa mechi kibao. Leo refa kawakazia mnamuona mchawi.
Hata mechi ya kwanza tu na berkane mlipunguziwa magoli kwa kubebwa na marefa.
Kuna mechi za nyuma mnacheza muda usioeleweka yaani mpaka mpate goli ndio mpira unaisha.
Wale wa south nusu fainali simba iliwafunga kwa kubebebwa na Var ila wao wakakataliwa goli lao na var.