Mpira wa Afrika na kushindwa kujiandaa

Mpira wa Afrika na kushindwa kujiandaa

Tatizo simba mmezoea kubebwa na marefa, Simba mmebebebwa mechi kibao. Leo refa kawakazia mnamuona mchawi.

Hata mechi ya kwanza tu na berkane mlipunguziwa magoli kwa kubebwa na marefa.

Kuna mechi za nyuma mnacheza muda usioeleweka yaani mpaka mpate goli ndio mpira unaisha.

Wale wa south nusu fainali simba iliwafunga kwa kubebebwa na Var ila wao wakakataliwa goli lao na var.
Ndiyo unayoyasema yanaweza kuwa ni ya UKWELI lakini hii ya Leo ilikuwa imezidi yaani makolo walijua kabisa refaree atakuwa upande WA RS berkane kwanini hawakujipanga kwa Hilo ?
 
Kwa muda mrefu simba walikuwa slow. Mfano Kamara anakaa na mpira zaidi ya sekunde 30 hajaamua apeleke wapi, Ahoua hali kadhalika. Kibu, Ateba, Nouma hawakufanya chochote. Kagoma anasifiwa sana lakini kiukweli jamaa anacheza rafu sana, akikutana na marefa makini kama Arajiga ni bahati kwake kumaliza mchezo bila red card
Marefa wa Ligi Kuu wanamlea sana. Kipindi cha kwanza refa ameongea nae sana.
 
Wakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.?

Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima mwamuzi atakuwa upande WA RS berkane.kwanini simba isingeandaa mbinu ya kukabiliana na hayo yalikuwa yanakwenda kutokea?

Ila poleni makolo timu hamna hamjui kupiga counter attacks gemu ilikuwa yenu hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
Screenshot_2025-05-18-12-05-22-14_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC .
 
Mbinu zakukabiliana na marefa ili kuwafanyaje?.Tusitafute visingizio,Hatuna timu wala benchi la ufundi lakuifunga berkane goli tatu bila ata mechi ikirudiwa tena.Tuache uswaili tuandae timu ya ushindani badala ya blah blah za kibongo zakutupa lawama kila tunaposhindwa.Uwezo wetu umeishia pale.
 
Tuambiane ukweli, Simba inabidi kuifumua safu yote ya mbele kuanzia namba 7 hadi 11. Wachezaji pekee wanaotakiwa kubaki pale mbele ni Mpanzu, Mutale na Mavambo baaasi na labda tumfikirie pia Mukwala.

Wengine woote kuanzia Kibu, Chasambi, Balua, Ngoma, Ateba, Awesu wawekwe pembeni.

Simba ili iende hatua inayofuata inahitaji viungo na mawinga walio skilled zaidi, wenye uwezo wa kuupokea mpira, wakapush kwa kupasiana, wakaufikisha mpira eneo la hatari kwa formation na combination plays zinazoeleweka na walio na uwezo wa kubaki na mpira hata wakiwa pressed badala ya kukimbilia kuurudisha kwa mabeki au golikipa.
Kwa hiyo kila mwaka nyinyi kazi yenu itakuwa ni "kufumua" tu kikosi! Halafu ligi ikianza mnawekeza nguvu kubwa kuwahonga wale waamuzi wenu wanne ili mpate ushindi kupitia kadi nyekundu za mchongo, penati za kujiangusha ndani ya 18, na magoli ya offside!
 
Unamlaumu huyo muamzi bure tu.
Watu wameshindwa hata kuandaa waokota mipira kweli halafu unakuja kuwatetea hapa .
Mpira ulikuwa ukitoka ili Simba warushe zilikuwa zinapotea sekunde 40 halafu useme refa!

Ndio madhara ya fainali kuchezewa Zanzibar

Kaka hapo umesema ukweli kuna mda mpaka yalinitoka maneno ambayo sio busara kuyasema hapa!!!

Wale ball boys nao sijui walikula urojo.. hovyo kbisa
Simba ilinyimwa mambo mengi sana ambayo ni jukumu la timu mwenyeji kufanya. Jamaa walikuja wamejipanga haswa na walihakikisha CAF wanafanya kila wanachotaka.
 
Wakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.?

Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima mwamuzi atakuwa upande WA RS berkane.kwanini simba isingeandaa mbinu ya kukabiliana na hayo yalikuwa yanakwenda kutokea?

Ila poleni makolo timu hamna hamjui kupiga counter attacks gemu ilikuwa yenu hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sema refa wa jana kakosea wapi?simba imezoea kubebwa sasa jana refa alikuwa amenyoka kama rula
 
Fafanua, kivipi Refa alikuwa upande wa Berkane.
Kama suala ni red card, kanuni ziko wazi, Mchezaji rafu wa Simba hakugusa mpira, akitokea nyuma akapiga mguu wa mchezaji wa Berkane, mbele ya macho ya Refa na tayari alikuwa na Yellow card na maonyo kadhaa.

Kuhusu kukataliwa goli, tuilaumu VAR kuwepo uwanjani, maana hiyo ndio ilisema kuna offside wakati huo Refa alishasema ni goli.
Lakini katika marudio ilionesha ni dhahiri kabisa mchezaji alikuwa katika eneo la kuotea. Sasa VAR ilaumiwe vipi hapo?
 
Kwa muda mrefu simba walikuwa slow. Mfano Kamara anakaa na mpira zaidi ya sekunde 30 hajaamua apeleke wapi, Ahoua hali kadhalika. Kibu, Ateba, Nouma hawakufanya chochote. Kagoma anasifiwa sana lakini kiukweli jamaa anacheza rafu sana, akikutana na marefa makini kama Arajiga ni bahati kwake kumaliza mchezo bila red card
unatoa sadio kanoute unaleta sadio kanoute wa bongo kagoma shenzi kabisa.
 
Tukiweka utani pembeni Simba wamejitahidi
Wamejitaidi kwani huu ni mwaka WA ngapi wao kucheza kimataifa kwa hii mentality ya kutafuta vichaka hatutobeba hizo trophies ingekuwa wale jamaa wamefungwa kocha angepanda ndege tofauti yaani pale simba inatakiwa kibu,noumah,ahoua,kamara watafutiwe mbadala timu Haina balance ya quality kabisa alafu mtu anatokea anasem hatuwadai
Kiukweli simba wanaogopa kusemwa ndio maana wanajikuta ohhh hatulalamiki🤣🤣🤣
 
Ukifananisha tulipotoka na tulipo hapa hivi vilabu vimepiga hatua sana Leo tunabishania kwenye hatua za mwisho robo fainali nusu imeshakua kawaida tunapaswa kujipongeza pia si safari ya kubeza
 
Wakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.?

Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima mwamuzi atakuwa upande WA RS berkane.kwanini simba isingeandaa mbinu ya kukabiliana na hayo yalikuwa yanakwenda kutokea?

Ila poleni makolo timu hamna hamjui kupiga counter attacks gemu ilikuwa yenu hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hoteli za kwetu viwanja vya kwetu sehemu za burudani zakwetu halafu tunashindwa michuano
 
Back
Top Bottom