Umeumia sana Mkuu, next ni vs Azam. Mpaka ligi ikiisha utakuwa umesemaLeo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa leo utakuwa umezikwa baada ya watu kuonesha wasiwasi kwa mechi kadhaa tena baada ya kushindwa kuonesha makali yao dhidi ya timu ndogo ya Tembo.
Leo kipa ndio alikuwa the main character na script kaitendea haki haswa ila lile goli la Freddy na la cha Melon wameshindwa kufanya uongo ulingane na ukweli. Shuti jepesi sana na unakopita ni pale pale pale alipo, kiasi kwamba anaweza kufanya clearance kwa miguu au mkono. Hongereni kwa kutupatia maigizo yenye lengo maalumu.
Unaendeleza maigizoLeo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira...
Una uhakika unazo akili?🤔Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa ...
Anazo kiduuuuchu za kuvukia barabara na kwendea chooni tu.Una uhakika unazo akili?[emoji848]
Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa ...
Ni kuhusu kuwepo wawili tu au wao ni mazuzu?Unadhihirisha usemi wa Haji Manara.
Kukaa kimya nako ni sehemu ya busara.
Hayo magoli yote mawili kulikuwa na 'Deflection' ya mpira. Usiwe kama una minyoo ubongoni.Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu ...
Waliteleza sana?Muwanunulie viatu vyenye kustahimili mikikimikiki ya Simba.Tarehe 9 mambo yatakuwa hadharani ukweli utajulikana tu! Haiwezakani wenyeji ndio waliongoza kuteleza kwenye uwanja wao kuliko wageni
Kwakweli hili nalo ni jambo la kufikirishawanunue njumu...uwanja wao waanguke wao...
Wewe wasema kuwa wako wawili tu. Haihitaji utafiti.Ni kuhusu kuwepo wawili tu au wao ni mazuzu?
Kwakweli hili nalo ni jambo la kufikirisha
Tatizo ni huo mwiko,ukiuchomoa tu umeponaLeo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa leo utakuwa umezikwa baada ya watu kuonesha wasiwasi kwa mechi kadhaa tena baada ya kushindwa kuonesha makali yao dhidi ya timu ndogo ya Tembo.
Leo kipa ndio alikuwa the main character na script kaitendea haki haswa ila lile goli la Freddy na la cha Melon wameshindwa kufanya uongo ulingane na ukweli. Shuti jepesi sana na unakopita ni pale pale pale alipo, kiasi kwamba anaweza kufanya clearance kwa miguu au mkono. Hongereni kwa kutupatia maigizo yenye lengo maalumu.