Unajua kuna vitu ambavyo vinapswa kufikiriwa mara mbili kabla hujafanya maamuzi ya mwisho
1. Unapochagua mke/mume wa kuoa unatakiwa utulize akili sana
2. Unapochagua timu ya kushabikia hapa unatakiwa uongeze umakini sana maana wengi wameingia mkenge.
Mfano umechagua Yanga halafu unajijua kabisa we ni mwepesi wa pressure, ndugu yangu upo kwenye high risk.
Utakufa kwa pressure siku ya msiba watu watasema uzembe wa marehemu