Tupo wengi tunaomuunga mkono Mgaya na ndio maana amechaguliwa kwa kura nyingi.sema uko pamoja na mgaya..mvunjaji amni mwenzako.

Mgaya namkubali huwa haogopi safi sana

Ninesoma kwenye gazeti la Tanzania daima Mpinzani wa JK apeta TUCTA, kuwa wabunge wa viti maalum CCM wametimuliwa kwenye kukao cha tukta kwa kuwa wao sio wanachama! Wadau, uwezekano huo upo kumteua mtu kuwa mwakilishi wa kikundi asichokijua? Au uteuzi wa wabunge viti maalum wakiwa kama wawakilishi wa jumuia huzingatia vigezo gani?
huleeee mgaya wewe ni ak47 kwenye uchaguzi wa 2015 ila chunga uhai wako maana wanaweza kukukolimba!
Alafu huwa nachoka wabunge wawakilishi wa wafanyakazi hawatambuliwi na tucta apo ccm ndo mwaniachaga hoi kwa kuforce kinga

hiki ndo ulichosoma? Au una asil ya uchakachuaji?
safi sana mgaya,hongera sana,unachotakiwa ni kazi hasa kazi kweli kweli sio maneno wala porojo,usikubali siasa za ccm za kusema jambo hili linashughulikiwa hata kwa miaka 10.hakikisha haki za wafanya kazi zinapatikana kwa wakati,wasikupige siasa wala usiogope vitisho vya kuita wazee wa dar na kuja na wakuu wa majeshi.
nawakubali waliochaguliwa hasa katibu mkuu na naibu wake kaaya, hata raawu tulimpitisha! Upande wa m/kit wa wanawake mhh no! Huyu kapoli boya tu, raawu tulimkataa hana mkakati wowote wa kuwakomboa wanawake mswahili mno my be hakuwa na mpinzani! Solidarity for ever, hebu nijiandae make soon baraza kuu litaitwa kumchagua mrithi wa kaaya!
mh mgaya ajiandae kama mwenzake wa tra..
kuhudhuria kwa mtoto wa rais na waziri lazima kunaenda mbali zaidi ya kutaka mgaya asichaguliwe, na huu ndo ukweli, wabunge walioingia kupitia vyama vya wafanyakazi hawatambuliwi na tucta, hivi wafanyakazi wa ccm hawatambuliwi na shirikisho hili!!