mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,858
Issue ni mpinzani kushinda ndo inawafariji.....Mungu ibariki Zambia
Mamluki huwa anatokea upinzani tu? Tanzania imeongozwa na Mamluki mbona hukusema?Issue ni mpinzani kushinda ndo inawafariji.....
Hata akiwa mamluki haijalishi siyo.....
Yaani hapa Huwa nachoshwa na akili za CCM.Wao wakishirikiana Wazungu ,wanawaita wawekezaji,wadau wa maendeleo.Upinzani wakijaribu kushirikiana na hao hao Wazungu,wanawaita mamluki,na mabeberu na majina mabaya mabaya🤣🤣🤣Issue ni mpinzani kushinda ndo inawafariji.....
Hata akiwa mamluki haijalishi siyo.....
NDIOIssue ni mpinzani kushinda ndo inawafariji.....
Hata akiwa mamluki haijalishi siyo.....
ccm kazi yenu nikubuni tu eti mamluki yaani vyombo vyote vya ulinzi nchini Zimbabwe vimeshindwa kabisa kugundua jamaa ni mamlukiIssue ni mpinzani kushinda ndo inawafariji.....
Hata akiwa mamluki haijalishi siyo.....
Sisi wa Tunduma border hapa tunasubiri tu matokeo maana hawa ni ndugu kabisa wakizingua kutangaza wapinzani nasisi tunaenda kutoa support maana wale na sisi ni kabila 1
Zaidi ya majimbo 6.wapinzani waongoza na huenda wakachukua serikali. Jana vijana waligoma kuondoka vituo vya kupigia kura na walilinda kura zao kwa Umahiri wa hali ya juu.Baadhi ya watu waliopata kupenyeza kura feki walipata vipigo na wengine walipoteza maisha vyombo vya usalama vilitimiza wajibu wao kikamilifu..
Hatareee! [emoji23][emoji23][emoji23]Sisi wa Tunduma border hapa tunasubiri tu matokeo maana hawa ni ndugu kabisa wakizingua kutangaza wapinzani nasisi tunaenda kutoa support maana wale na sisi ni kabila 1
Issue ni mpinzani kushinda ndo inawafariji.....
Hata akiwa mamluki haijalishi siyo..
Lungu aondoke, anayefuatia ni BibiMungu ibariki Zambia